Northern empire
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 358
- 463
Habari za mchana ndugu zangu. Naomba MSAADA wa yeyote anaefahamu chuo kinachotoa certificate ya medical lab chenye GHARAMA nafuu ili niweze kumpeleka ndugu yangu.
Kwa mwenye kufahamu anitajie ila akiwa na mawasiliano aniwekee ili niweze kufahamu vizuri Zaidi. Kama kipo ambacho ada yake haizidi milion moja itakuwa ni vizuri Zaidi. Ni matumaini yangu nitapata MSAADA.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app