Piga mswaki na kitunguu thaum hutojutia ushauri wanguuNimetengwa na jamii kisaa nanuka mdomo jamanii hta nipige mswaki kila saa bado mdomo unanuka nmejaribu dawa nyingi lkn hakun nafuu cijapona naombeni msaada ndugu zangu wapi nitapata tiba sahibi
Nenda hospital utapona,Nimetengwa na jamii kisaa nanuka mdomo jamanii hta nipige mswaki kila saa bado mdomo unanuka nmejaribu dawa nyingi lkn hakun nafuu cijapona naombeni msaada ndugu zangu wapi nitapata tiba sahibi
wengi wanao nuka mdomo chanzo ni izi stoneJe unaelewa nini kuhusu tonsillolith? Au tonsil stone?
Ohoo... Tudadavulie tuielewe tafadhaliwengi wanao nuka mdomo chanzo ni izi stone
Tupeane maarifawengi wanao nuka mdomo chanzo ni izi stone