Recent content by noma

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hongera timu ya vijana ngorongoro heroes

    Ribosome huelewi nini sasa? We MALAPA (YANGA) nini? Ngorongoro walishinda 3 -1 hapa wakajiwekea akiba ya magoli, kama vile simba ilivyoshinda 3 - 0. Hutaki ukweli?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hongera timu ya vijana ngorongoro heroes

    safi sana. Huo ndio utamu wa kushinda kwa magoli mengi nyumbani, kama simba vile.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

    moja ya MNYIKA
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

    safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

    nilisoma uzi kuwa hukumu ya biharamulo ilianza kusomwa saa 7 mchana lakini sikupata majibu isipokuwa kutoka kwa mujunu mjani
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

    duh kwahiyo Mbasa si mbunge tena, hii balaa sasa, kwa hiyo tunasubiri mnyika nae avuliwe ubunge. Itakuwa CCM 1 CDM 3
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

    update ya biharamulo ikoje jamani
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Usa River auwawa kinyama

    Rip mwenyekiti
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Lissu - Jisomee mwenyewe

    Mbunge wa jimbo la Singida mashariki CHADEMA),Tundu Lissu,muda mfupi baada ya mahakama kuu kutupilia mbali maombi yaliyotolewa na Shaban Selema na Pascal Halu wa CCM,kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa ubunge. Mbunge wa jimbo la Singida mashariki (CHADEMA) Tundu Lissu akifutwa machozi na mke...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Isango picha za ushindi Singida ziko wapi?

    Mbunge wa jimbo la Singida mashariki CHADEMA),Tundu Lissu,muda mfupi baada ya mahakama kuu kutupilia mbali maombi yaliyotolewa na Shaban Selema na Pascal Halu wa CCM,kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa ubunge. Mbunge wa jimbo la Singida mashariki (CHADEMA) Tundu Lissu akifutwa machozi na mke...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya Mwakyembe?

    Leo Mh. Harrison Mwakyembe amehudhuria bunge. Kuna yeyote aliyefanikiwa kupata picha yake?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nini kimempata Nassari?

    Naibu kiongozi wa upinzani Bungeni Mh Zitto amekiri CDM hakikusoma vizuri kanuni za bunge. Ameomba msamaha kwa spika, sasa wataapishwa alhmamisi. Jumatano watakuwa wanapewa maelekezo jinsi bunge linavyofanya kazi.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nini kimempata Nassari?

    Naomba kujua kwanini Nassari hakuapishwa leo. Kuna nini kinaendelea.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nini kimempata Nassari?

    wamelewa sifa
  15. N

    JamiiForums Tanzania Watch Simba vs Es Setif live

    watch es setif vs simba sc en direct 06-04-2012 en streaming
Back
Top Bottom