Hukumu imeanza kusomwa.........kwa mujibu wa mhabarishaji wangu ni kuwa wako ndani hukumu inaendelea kusomwa. Watu ni wengi na kuna ulinzi mkali. Naambiwa kila mtu na kambi yake wanashangilia. CCM wanashangilia na CDM wanashangilia. Sasa sijui mshindi atakuwa nani. Nawasiliana na chanzo changu hicho cha habari na nimekiomba ridhaa yake ili niwatumie namba yake ili kila mwenye kiu ya kujua ampigie moja kwa moja. Angalizo....ni mwananchi wa kawaida hajui ma english yenu kwa hiyo muulize nani kashinda au hali ya usalama ikoje. Stay tuned.
Mkuu kama yupo mahakamani endelea tu kuwasiliana nae wewe utujuze kinachoendelea ukitoa hiyo no kila mtu akimpigia kwa hakika atazima simu......
Bado hukumu inasomwa tu sasa cha kuwasaidia naweka namba ya simu hapa ya bwana clement yuko Mahakamani Biharamulo............ni noma citizen msimuulize ma kizungu nyie ulizeni mshindi ni nani
+255763 633134

Hajui kizungu au hajui kiswahili??Bado hukumu inasomwa tu sasa cha kuwasaidia naweka namba ya simu hapa ya bwana clement yuko Mahakamani Biharamulo............ni noma citizen msimuulize ma kizungu nyie ulizeni mshindi ni nani
+255763 633134
*Tusilaumu sana huenda net ikawa inazingua si unajua tena coverage ya b'mulo!
Bado hukumu inasomwa tu sasa cha kuwasaidia naweka namba ya simu hapa ya bwana clement yuko Mahakamani Biharamulo............ni noma citizen msimuulize ma kizungu nyie ulizeni mshindi ni nani
+255763 633134
Hajui kizungu au hajui kiswahili??
yani tusimuulize kitu kingine zaidi ya "Mshindi ni nani??"
Naona huyu kiswahili atakuwa badobado huyu!!
:A S wink::wink2::msela: