Mwenyekiti wa CHADEMA Usa River auwawa kinyama

PakavuNateleza

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
1,104
1,294
Wana JF,
Taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu kutoka usa river ni kwamba Mwenyekiti wa CDM wa mji mdogo wa usa river ndugu Mbwambo ameuwawa kikatili kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana usiku huu.
Jamani nchi hii tunaipeleka wapi?
 
Wana JF,
Taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu kutoka usa river ni kwamba Mwenyekiti wa CDM wa mji mdogo wa usa river ndugu Mbwambo ameuwawa kikatili kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana usiku huu.
Jamani nchi hii tunaipeleka wapi?

CCM kama wanataka kuchinjana waseme! Walianza kuua kule Igunga baadae wakawacharaza mapanga wabunge wetu kule Mwanza na leo tena wameua kiongozi wetu! Sierra Leone walianza hivi hivi. Kama wanataka watufikishe huko, sisi tutawafikisha zaidi ya hapo maana umafya kwetu ni zaidi ya siasa. Tunawapa muda waendelee na ujinga wao, siku tukianza kulipiza kisasi nchi haitatawalika.
 
hizi damu zitawalilia magamba hadi kaburini, haki za wa2 hazipotezwi zinzcheleweshwa tu. POLENI SANA FAMILIA YA MBWAMBO.
 
RIP Mbwambo!Mungu ametoa Mungu ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe!wote waliyofanya huo unyama kwasababu yoyote ile Malipo ni hapa hapa Duniani.
 
So Sady polisi wanancha kudhibiti vitu kama hivi wanapoteza muda kumpiga mkwara Dr. Slaa
 
poleni sana,lengo lao wanataka kutisha wananchi,wamesha chelewa moto umeshika kasi
 
Bahati mbaya sina picha yake.Ila kuna umuhimu wa chama kuangalia swala la ulinzi wa viongozi wake hasa sehemu ambazo siasa zake ni tete.
Sehemu kama Mwanza na Arusha inabidi viongozi wa CDM walindwe.
 
Viongozi wangu wa CDM sasa umefika wakati mtoe tamko la sisi wanachama tuanze kuwachinja, Wabunge, Madiwani, Wenyekiti na Wajumbe wa ccm, kwani sisi CDM tupo wengi tutawamaliza hao magamba in short time.
Viongozi wetu toeni kauli tuingie mitaani.
 
Back
Top Bottom