Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Nitawapatia update
jaji amechelewa kidogo

ni kupinga ubunge wa dk antony mbasa wa chadema
 
Aseme tu Ikulu imemwita then wanakubaliana bei na hawajaafikiana watahairisha hadi tarehe mbili
 
Subirini muone baada ya hakimu kutoka kwa mama muuza wa Rubisi maamuzi atakayokuja nayo!!!

Magamba bwana.........!!! Dawa ni kuyapiga chini tu!!
 
Haitakuwa hatari hukumu kutolewa late namna hiyo? Mi nawaogopa magamba kwa kunyonga wazalendo wetu na raia wema wa JMT.

Anyway I still hope for the better and more.
 
Mbona thread zipo mbili? Kwa nini zisiunganishwe? Wewe upo biharamulo?
 
Hukumu 2shaijua jana sii kama ile ya lema then hakimu alikuwa awe fair kwani 2me ya uchaguzi ilikuwa ya kwao so kuwanyang'anya ubunge cdm ni uonevu,WALIPOONA SUMBAWANGA HUKUMU IMEKULA KWAO WAMEONA WAEQUALIZE,SIJUI MAHAKAMA ZETU HATMA YAKE.maskini Mbasa.. maskini chadema..hukumu inaamuliwa kusoma upepo wa maeneo mengine.
 
haijaahirishwa hii kitu??

hukumu gani inasomwa usiku!!
 
duh kwahiyo Mbasa si mbunge tena, hii balaa sasa, kwa hiyo tunasubiri mnyika nae avuliwe ubunge. Itakuwa CCM 1 CDM 3
 
Back
Top Bottom