Hukumu ya Lissu - Jisomee mwenyewe

Mkuu wanachadema huwa hawababaishi. Wabunge na viongozi wake wametulia kichwani. Kwa mfano Mh. Mnyika alipata Div. 1 point 7 form iv baada ya kupata A Tisa kwa masomo kumi hivi. Anyway waliosoma naye wana details zaidi. Bravo CDM.

Halafu form 6 akapata div 3 parachu parachu ya div 4 teh teh teh! wot a genius!
 
Hongereni watu wa Singida Mashariki kwa kumpata M bunge Lissu,mie namshukuru MUNGU Mtwara-Mjini tumempata M bunge kilaza Murji ni tatizo kubwa kazi ya kugonga Meza tu.Ee Mungu tujalie M bunge kama Lissu sisi wana Mtwara.

inshaallah!
 
Hongera sana cdm pia lissu, eh mora tusikilize nasi wa waja wako wa kigamboni,
mbunge wetu kingundulile ni kituko, hawezi kujenga hoja, akijenga hoja kwa mda mrefu husaau alipoanzia na kuanza kujichanganya. Duh dunia hii ina mambo

Mungu atawapa nanyi pia inshaallah!
 
Halafu form 6 akapata div 3 parachu parachu ya div 4 teh teh teh! wot a genius!

We ndo mautumbo ya bata kabisa..kupata div 1 ndo akili?? Na division 1 zenu mnafanya kazi mshahara laki 7..watu na hizo div 3 wana kazi za maana mshahara 6m .... Jk ana gpa ya 2.3 mbona leo rais!!
 
Mkuu wanachadema huwa hawababaishi. Wabunge na viongozi wake wametulia kichwani. Kwa mfano Mh. Mnyika alipata Div. 1 point 7 form iv baada ya kupata A Tisa kwa masomo kumi hivi. Anyway waliosoma naye wana details zaidi. Bravo CDM.
Baada ya kupata 1 ya 7 akaenda wapi na akapata nini huko ni vyema kujua nasi wana jamvi ambao hatuji.
 
We ndo mautumbo ya bata kabisa..kupata div 1 ndo akili?? Na division 1 zenu mnafanya kazi mshahara laki 7..watu na hizo div 3 wana kazi za maana mshahara 6m .... Jk ana gpa ya 2.3 mbona leo rais!!
Tatizo yule aliyeanza sio hyu aliyeonyesha mwendelezo, aliyeanza ndo alistahili hii.
 
DSC02576.jpg

Mbunge wa jimbo la Singida mashariki CHADEMA),Tundu Lissu,muda mfupi baada ya mahakama kuu kutupilia mbali maombi yaliyotolewa na Shaban Selema na Pascal Halu wa CCM,kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa ubunge.
DSC02582.jpg

Mbunge wa jimbo la Singida mashariki (CHADEMA) Tundu Lissu akifutwa machozi na mke wake wakati wakitoka nje ya mahakama baada ya mahakama kuu kutangaza kuwa ushindi wake huo,ni halali.
DSC02591.jpg

Baadhi wa watu waliohudhuria kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Tundu kuwa mbunge muda mfupi baada ya maamuzi hayo kutolewa.(Picha zote na Nathaniel Limu).

DSC025741.jpg

Wakili wa waleta maombi Wanaccm Godfrey Wasonga akitafakari kwa hisia kali muda mfupi kabla ya kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ubunge Tundu Lissu hayajatangazwa.
source ya picha hizi ni
http://dewjiblog.com
 
Hongera kamanda T.Lissu Mungu amekuona,na sio ujanja wako bali ni maombi ya watu wa Mungu waliojitesa kukuombea,naye ameyasikia na kuyajibu,jina la Bwana libarikiwe!!
 
Mungu hawezi kuwa upande wa dhuluma na hila. Daima atasimama upande wa haki na ukweli, kwa ajili ya Watanzania. This is the struggle brothers. Mapambano haya si mzaha au mchezo wa kujificha. Wamedhamiria lakini bahati mbaya upande wao ni wa dhuluma na hila. Tusongeni mbele bila ya woga, tutiane ujasiri katika hatua ya majaribu kama haya.

Move wanayopanga dhidi ya kesi zingine zilizoko mahakamani inajulikana. Hiyo wameshindwa. Sasa tuwafuatilie na kuwamulika kwa ukaribu katika zingine zilizobaki.
 
ukisoma hukumu ya Tundu Lissu vizuri utaona jinsi gani jaji wa kesi ya Lema alivyochemka kwani kila hoja iliyotolewa na walalamikaji alisisita jambo moja kuu kutokuthibitishwa ndio ilikuwa sababu kubwa ya kuyakataa madai yao ambapo kwy kesi
ya Lema wahusika hawakuthibitisha maneno yao kwa kuleta ushahidi wowote ilikuwa ni maneno matupu.

Hongera sana Tundu Lissu na Mungu Akubariki ktk utumishi wako kwa watu wa singida.
 
Mkuu wanachadema huwa hawababaishi. Wabunge na viongozi wake wametulia kichwani. Kwa mfano Mh. Mnyika alipata Div. 1 point 7 form iv baada ya kupata A Tisa kwa masomo kumi hivi. Anyway waliosoma naye wana details zaidi. Bravo CDM.

Ndio maana hufikiria kwa kutumia kichwa na si vinginevyo!
 
Hongera sana cdm pia lissu, eh mora tusikilize nasi wa waja wako wa kigamboni,
mbunge wetu kingundulile ni kituko, hawezi kujenga hoja, akijenga hoja kwa mda mrefu husaau alipoanzia na kuanza kujichanganya. Duh dunia hii ina mambo

Inaitwa kata ujute mlifikiri Dr. Slaa anawadanganya chagueni cdm mkabisha sasa kazi kwenu na kuthibitisha hilo ni pale alivyowaokota mkataka kuandamana eti kupinga nauli ya sh.300 wakati mafuta sukari na vinginevyo hajaviona lakini kwa kutaka kuwazuga anawapenda akamfanyia unafiki magufuli akidhani Magufuli anatishwa na watu waliochoka kifikra kama Ndugulile hata sipati jibu sijui ni dr wa gongo au? nisaidieni hapo. majibu yake ilikuwaje ...................... Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako kaka majuto mjukuu.
 
Back
Top Bottom