Isango picha za ushindi Singida ziko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Isango picha za ushindi Singida ziko wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by noma, Apr 27, 2012.

 1. n

  noma Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  [​IMG]
  Mbunge wa jimbo la Singida mashariki CHADEMA),Tundu Lissu,muda mfupi baada ya mahakama kuu kutupilia mbali maombi yaliyotolewa na Shaban Selema na Pascal Halu wa CCM,kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa ubunge.
  [​IMG]
  Mbunge wa jimbo la Singida mashariki (CHADEMA) Tundu Lissu akifutwa machozi na mke wake wakati wakitoka nje ya mahakama baada ya mahakama kuu kutangaza kuwa ushindi wake huo,ni halali.
  [​IMG]
  Baadhi wa watu waliohudhuria kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Tundu kuwa mbunge muda mfupi baada ya maamuzi hayo kutolewa.(Picha zote na Nathaniel Limu).

  [​IMG]
  Wakili wa waleta maombi Wanaccm Godfrey Wasonga akitafakari kwa hisia kali muda mfupi kabla ya kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ubunge Tundu Lissu hayajatangazwa.
  source ya picha hizi ni
  http://dewjiblog.com
   
Loading...