Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

Glory to GOD! Hongera Hon. Mbassah, hongera CDM! Pia ninamshukuru Jaji ambaye bila shaka alikuwa under untold pressures za magamba.

Baada ya kusema hayo napenda kubainisha msimamo wangu kuwa bado mahakama zetu si huru kama mhimili muhimu wa dola. Hawa majaji ni kwa ujasiri na uadilifu wao binafsi wamefikia kutoa maamuzi ya haki.

Ikumbukwe kesi hizi 14 dhidi ya CDM (kati ya majimbo 23) zilifunguliwa na magamba kwa ushauri wa Makamba Snr, lakini kimsingi zote zilipaswa kutupiliwa mbali at preliminary levels. So zinaongeza mzigo wa gharama kwa Taifa, lakini kwa vile magamba wameamua twende kwa njia hiyo sisi tuko tayari na zaidi!
 
kesi za kukurupuka hizi zinamaliza hela za walipa kodi tu. Anyway ndo demokrasia ilivyo.
 
The Beginning of the end[SUP]1[/SUP].[SUP][/SUP]
[SUP]1 [/SUP]Kitila Mkumbo (2012).[SUP][/SUP]
 
Chama Cha Mapinduzi kimezidi kuaibika baada ya kupoteza kesi yake ya kupinga matokeo ya ubunge yaliyompa ushindi Mh. dr. Mbassa katika jimbo la uchanguzi la Biharamulo.

Namshukuru Mungu kuwa maombi yetu yanasikilizwa.

Update: Kesi ilianza kusomwa saa 7 mchana hadi saa mbili na nusu usiku. kumekuwa na mandamano makubwa kutokea mahakamani kuelekea katikatio ya mji wa Biharamulo.

Chadema Vema


Quality
 
Quality hii ni taarifa muhimu sana,
asante kama ni kweli.
Ingependeza ukatuwekea na mtiririko wa hukumu, mashtaka yalikuwa mangapi nk.

Thanks,

Mungi
 
Back
Top Bottom