Sasa ubunge na utafiti wapi na wapi?? kama ni mtafiti si aendelee kufanya utafiti ili matokea ya research zake yatumike kusaidia wananchi! au bila ubunge mtu huwezi kufanya utafiti? Kazi ya utafiti inahitaji muda na umakini sana hivo kwa kumnyima ubunge walimsaidia sana aweze kujiimarisha kwenye taaluma yake!! wewe ni gamba humu Jf halafu post zako hazina kichwa wala miguu mfano unasema alionewa?? alionewaje??kama anatisha kwenye fani yake aendelee kutisha anakimbilia ubunge wa nini??hebu tupia paper yake hata moja aliyowahi kupublish ili kuthibitisha usemi wako!![/QUOTE
OSOKONI
hata mbasa ni Daktari mara ngapi tunalalamika tunao upungufu wa watu wa taaluma yke au kwa vile in CHADEMA? haki ya mtu mpeni tuu jamani