Hongera timu ya vijana ngorongoro heroes

bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
642
Hongera Ngorongoro fulltime: SUDAN 2 vs TANZANIA 1. SISI MAGOLI 4 NA WAO MAGOLI 3
 
Hongera vijana wetu. Huyu Paulsen wa Ngorongoro Heroes ni bora kuliko kaka yake wa Stars.
 
Hongera Ngorongoro fulltime: SUDAN 2 vs TANZANIA 1. SISI MAGOLI 4 NA WAO MAGOLI 3

Sikuelewi kabisa. Msidakie kuleta habari wakati hamjui kuandika vizuri. Sasa hicho ndio nini?
 
Ribosome huelewi nini sasa? We MALAPA (YANGA) nini? Ngorongoro walishinda 3 -1 hapa wakajiwekea akiba ya magoli, kama vile simba ilivyoshinda 3 - 0. Hutaki ukweli?
Haaahaaaa! Kwani magamba kuna kitu wanaelewa?!
 
Hvi ilo ni kombe gani?af wameshnda hapa ndo wanaenda fainali ama wanaenda makundi kama simba?
 
Vijana wamesafisha njia ya Wekundu wa Tanzania kwenda kuwaondoa Wanubi.
 
Ribosome huelewi nini sasa? We MALAPA (YANGA) nini? Ngorongoro walishinda 3 -1 hapa wakajiwekea akiba ya magoli, kama vile simba ilivyoshinda 3 - 0. Hutaki ukweli?

Soma hiki ulichoandika wewe na alichoandika mleta mada uelewe tofauti iko wapi.

Nimependa sana matokeo na kila sifa zipelekwe kwa Kikwete kwa kutuletea hawa makocha wa angalau wanatuingiza kwenye duru za michezo Afrika. Hongera Kikwete.
 
hongera sana vijana ila hapa ndo pahala pa kuwekeza kwani hii timu yaweza kututoa kimasomaso siku za usoni badala ya kuingalia kwa jicho la umakini timu ya wakubwa wakati mafanikio yake ni kiduchu sana
 
Soma hiki ulichoandika wewe na alichoandika mleta mada uelewe tofauti iko wapi.

Nimependa sana matokeo na kila sifa zipelekwe kwa Kikwete kwa kutuletea hawa makocha wa angalau wanatuingiza kwenye duru za michezo Afrika. Hongera Kikwete.

Mkuu rudi kwenye jukwaa la siasa, Kikwete anahusika vipi hapa, naona ushaanza kuchanganya Kim Poulsen na Jan Poulsen...wote ni waajiriwa wa TFF lakini Jan ndio asante Kikwete na ndio timu yake inaboronga na tunaporomoka kila kukicha kwenye viwango vya ubora wa soka vya FIFA.

Mwisho, ushindi wa Ngorongoro iwe ni funzo la maandalizi tutakapowakabili Nigeria ambao last time alitueliminate kwenye harakati za kuelekea London.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom