Hujajibu hoja ya mjumbe. Kwa mantiki yako tuwe tunaamini lolote pasi taarifa rasmi? Kukatishwa kwa ziara si lazima uwe ugonjwa. Hoja ni kwamba watanzania twapaswa kujuzwa kama kweli anaumwa na sababu rasmi za kukatishwa kwa ziara. why mtu wa ughaibuni ajue hali ya Raisi na watanzania wa tukuyu...
Tukuyu kwetu bwana hii sayansi inadhihilishwa hivi yaani wewe ukasikia tu mafufuma au ngwitwa hayo ni aina ya mabundi usiku nje kwako iwe batini au kwenye mti jirani yako basi jua kesho tunazika mtu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.