Sitaki tena ajira Bandari

Sitaki tena ajira Bandari

Ushahidi wooote toka mwanzo wa zoezi ninao.. Nakosa tu mahali sahihi pa kuupeleka.. Majina 3 ambayo hayakuwepo usailini yamechomekwa pale ndani..
Tuwekee hapa huo ushahidi jf ni taasisi kubwa
 
uko sahh mkuu
sio mapya mkuu, mara nyingi huwa wanaweka pia watu ambao wapo kwenye database ambao walifanya usaili wa kazi kama yako uloomba na hawakupata nafasi hapo nyuma kutokana na ushindani kuwa mkubwa...mfano kipindi cha nyuma alipata 60% mkaja nyie mkafanya usaili wa kazi mkapata 59% wataanza kumconsider huyo wa 60 kwanza.
 
Nakubaliana nawe mkuu. Hata matangazo ya kuitwa kazini huwa wanatoa angalizo kuwa,walioitwa wapo waliokuwepo kwenye database yao. Ingawa hii ina changamoto,yaweza tumika vibaya,ndio maana kuliwah kuwa na ushauri..kuwa hata majina yaliyopo kwenye database yawekwe wazi
 
Wewe mtu anakwmbia ushahidi anao wewe unasema sio kweli, kwanini unamkatisha mtu tamaa nawakati ushahidi anao?
We jamaa leta vitu....!
Nani kwamba bandari saivi wamefanya maajabu, hamna alobebwa mpaka watu wanashangaa, mi mwenyewe nliitwa na bandarini simjui mtu na so mimi tu, wengine walikua 48, kaitwa mmoja hajui mtu.

Yaani ata mkurugenzi anadai hawezi ingiza mtu yeyote ata kama ni mtoto wa rais anadai yko tiari ateme kazi, ila saivi kulkua hamna kubebana yaani kukaza kwako tu, watu tumeitwa wengi na wengine wamo umu nawajua, tumejuana tangu kazi zimetangazwa.

Acha kupotosha mzee, kila tu ilkua fair, wapo jamaa zangu hawajaitwa, kuna kada walikua wanajumlisha alama na za usaili wengine walkua hawajumlish kama mlofanya written walikua hawajumlishi sa kama ulifel bas ulifel utumishi, ila saiv wamefanya maajabu, mpaka wenyewe wanasema
 
Wewe mtu anakwmbia ushahidi anao wewe unasema sio kweli, kwanini unamkatisha mtu tamaa nawakati ushahidi anao?
We jamaa leta vitu....!
ukipata kuna mtu anakosa, na ukikosa kuna mtu kapata, ila ukweli ndo niliosema
 
Ni kweli mkuu kuna jamaa yangu amepata nae kazi na alikuwa hafahamiani na yeyote. TPA hakuna upendeleo wala nini tatizo vijana wenyewe VILAZA na wanafeli interview.
 
wapo wengi man, m mwenyewe ila jamaa anapotosha kinoma
 
Sijajua bado kazi ya Sekretarieti.. Mchakato mwanzoni unanoga Sana unaona mambo rahisi mwishoni madudu yake unaweza kulia.. Nadhani wangeachana na utaratibu wa kuita watu usailini
Sekretarieti hao hao ndio wanofanya hiyo michezo! Ni wala rushwa hakuna mfano! Mimi mwenyewe yupo jamaa yangu aliambiwa aandae milion 2 apate kazi kwenye post za almashauri.
 
sio mapya mkuu, mara nyingi huwa wanaweka pia watu ambao wapo kwenye database ambao walifanya usaili wa kazi kama yako uloomba na hawakupata nafasi hapo nyuma kutokana na ushindani kuwa mkubwa...mfano kipindi cha nyuma alipata 60% mkaja nyie mkafanya usaili wa kazi mkapata 59% wataanza kumconsider huyo wa 60 kwanza.
Kama mnawatu tayari wako kwenye database, Kwanini msiwaingize moja kwa moja kweny ajira kuliko kuanza kusumbu watu wengine kufanya interview halafu kazi wapate wengine? Hili halijakaa sawa aiseee
 
Ni kweli mkuu kuna jamaa yangu amepata nae kazi na alikuwa hafahamiani na yeyote. TPA hakuna upendeleo wala nini tatizo vijana wenyewe VILAZA na wanafeli interview.
Database (kanzidata) ya utumishi ndio tobo pekee lililobaki kwa watu wenye nyadhifa zao kuingiza watu serikalini... waweke uwazi hapo kwenye kanzi data (kwanini wanaficha) na waseme mtu ameingia kwa oral ipi… hapo ndio unaweza mwaga machozi
 
Uncle Magu wapi? Tembelea Utumishi Kuna majipu yanahitaji kutumbuliwa maana Kuna malalamiko mengi Sana....!
 
Dah acha tu mkuu... Urasimu kuisha serikalini bado Sana... Mtu haitwi kwenye usaili na wala hafanyi usaili lakini jina linakuwepo kwenye shortlist ya kuitwa kazini
Hiyo ndio bandari bwana mkono mtupu haulambwi
 
Back
Top Bottom