Hili shirika,in moja ya majipu sugu,watu wanakusanya hela za wanachama halafu hawawalipi Bima zao zikiiva, HIV, nitakosea nikiita shirika la kitapeli hili.
Wale wanachama ambao Bima zao zimeiva na hawajalipwa wanaendelea kupigwa lugha za kisiasa,za njoo kesho, lipo kwenye mchakato, tunalishughulikia,nk ,kumbe pei yao imetafunwa, tukutane hapa tushauriane.