Lissu: Namuombea Rais Magufuli apone arejee katika kazi yake. Ubaya haulipwi kwa ubaya bali kwa wema

Status
Not open for further replies.
Hawawezi kutoa KAKA,si unamjua Magufuli wewe.Hapo wanaulizana akipona akute wameutangazia umma tatizo lake unafikiri atareact vipi?Ujue watu wanaweza tumia kama fimbo uchaguzi 2020 wakati wa kampeni?Hivyo watapiga kimya kimya unless afe.Watapiga kimya kimya tu akipona mtamuona anaendelea na shughuli zake kama kawaida.
kwa hiyo ni volcano,mafuriko,tetemeko au anaumwa!?
 
hizi ndizo siasa safi ,siyo za akina zitto kabwe

Ameomba radhi


1571559842461.png


1571559866693.png



1571559888245.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom