Dalili kumi kuwa unaweza kufa kesho

Dalili kumi kuwa unaweza kufa kesho

Huyu jamaa labda anataka amwaminishe mtu dalili moja wapo ya hizo, ili tu kesho yake amchinje [emoji23][emoji23][emoji23] I’m just Kidding [emoji1544]
[emoji87][emoji87][emoji86][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji30]
 
Tatizo hapa bongo hao mende walivyoojaa sio kupanda tu katika kiatu bali wanalala humo humo. Siku sitasahau nikiwa stendi nasubiri gari ghafla nikahisi vitu vinanitekenya mguuni, ile kuuweka sawa mguu nashangaa mende watatu wakatoka ndani ya viatu kwa spidi kali, nashukuru kwa vile watu walikuwa bize na kugombania magari.
 
Mamb mengine bhana!! Ndo maana rose muhando aliimba mungu anachekaa [emoji23][emoji23][emoji341][emoji341]
 
Kuna wakati nilikua nafikiria Kama ni kweli yule kipepeo alileta taarifa kutokana na yule mtu mzima alivyosema au ni uongo..!!80% kuna ukweli
Inawezekana ingawa kwa wakati ule sikua naamini Sana.

Na Kuna siku kalikuja kakipepeo kadogo nilikawahi kukaua aisee
 
Tatizo hapa bongo hao mende walivyoojaa sio kupanda tu katika kiatu bali wanalala humo humo. Siku sitasahau nikiwa stendi nasubiri gari ghafla nikahisi vitu vinanitekenya mguuni, ile kuuweka sawa mguu nashangaa mende watatu wakatoka ndani ya viatu kwa spidi kali, nashukuru kwa vile watu walikuwa bize na kugombania magari.
[emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji851][emoji851][emoji851]
 
@mushana jr napenda mada zako za chumvi ya mawe ,naendelea kusoma notes mpaka nitoboe maisha maana nimesha amini hicho kitu pia kwa ushahidi nilopata sehemu mbalmbal
 
@mushana jr napenda mada zako za chumvi ya mawe ,naendelea kusoma notes mpaka nitoboe maisha maana nimesha amini hicho kitu pia kwa ushahidi nilopata sehemu mbalmbal
[emoji123][emoji109][emoji115][emoji120][emoji120]
 
Bongo: Baadhi ya mila wanaamini ukiponyokwa na chombo kilicho na chakula cha mgonjwa na chombo hicho kikavunjika ama chakula kumwagika, ni ishara tosha mgonjwa wako yu njiani kuaga dunia...
 
Tukuyu kwetu bwana hii sayansi inadhihilishwa hivi yaani wewe ukasikia tu mafufuma au ngwitwa hayo ni aina ya mabundi usiku nje kwako iwe batini au kwenye mti jirani yako basi jua kesho tunazika mtu.
 
[emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji851][emoji851][emoji851]
nashukuru walitoka wakati nipo chini, imagine upo ndani ya daladala pembeni yako kuna mrembo anakushtua kaka wadudu wanatoka kwenye viatu, hakyamungu hata kama huna nauli nyingine unaweza shuka kimara ukatembea kwa miguu hadi posta
 
Ila imani ni vitu vya ajabu, ukute walikuwa wanakufa kweli [emoji23][emoji23]

Ila hili la Bundi kulia nje, siku za karibuni limerahisishwa eti bundi anakuja sababu ana uwezo wa kuhisi mzoga akiwa mbali. Binafsi siamini hii dhana ya kidigitali eti amekunusa kama mzoga. Sababu kama ni kweli basi wangekuwa hawapungui mitaa ya hospitalini. Ajabu ni kuwa huko huwezi waona na akionekana ni mara moja kwa mwezi/wiki.

Ukweli usemwe tu Bundi kiumbe kingine kwenye maisha mengine.
 
nashukuru walitoka wakati nipo chini, imagine upo ndani ya daladala pembeni yako kuna mrembo anakushtua kaka wadudu wanatoka kwenye viatu, hakyamungu hata kama huna nauli nyingine unaweza shuka kimara ukatembea kwa miguu hadi posta
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom