Maswali kuntu kuhusu uchawi

Maswali kuntu kuhusu uchawi

kinachanishangaza pale mtu anaumwa kabanwa hasa afu daktari anapima anakuta hamna ugonjwa wowote lakn mgonjwa analalamika.then mgonjwa anapelekwa kwa mganga wa kienyeji ana chezesha ndumba zake mgonjwa anapona.h ni zaid ya tehama kwakweli
 
Uchawi. Underworld. Secret missions kama Freemasons. Wapinga Kristo.

Kinyume chake - dini ya kweli maana huku matapeli ni wengi. Jicho la tatu. Roho mtakatifu.
 
Mkuu, Mshana jr, mimi natofautiana na wewe, with due respect, nasema kwamba Uchawi/Magic ni tawi moja la Elimu ya sayansi lakini kwa kipindi hiki ni elimu ambayo haipo wazi kwasababu inakiuka morality ya ubinadamu ili ifanye kazi na pia principle ya kiubinadamu ni kwamba chochote chenye manufaa huwa kinapata maendeleo, (whatever useful must be developed and won't be kept a secret over long time).

Mfano, wachawi hutumia dawa/ nguvu ya kutokuonekana pindi wanapofanya mambo yao ya "kihalifu" (invisibility power), inakuwa vipi??, mimi sijui wanatumia vitu gani kujipakaza mwilini, lakini ni kwamba mchanganyiko materials wanazotumia kujipaka mwanga unapogusa (strike) hizo material mwanga unaorudishwa (reflected ) unakuwa umebadilika mawimbi yaani maeimbi hayo yanakuwa nje ya ile inayoitwa visible spectrum ya uwezo wa macho ya mtu kuona na ndiyo maana kuna viumbe wengine wanaweza kumuona mchawi wa aina hiyo kwa sababu wao visible spectrum yao ni kubwa kuliko ile ya mtu.

Nadhani unajua ni jinsi gani sisi binadamu tunaweza kuona vitu.

Mfano huu unafanana na stealth fighter jet ambayo radar inashindwa kuiona/ku-detect kwa sababu inameza mawimbi ya radar au inayarudisha katika mawimbi mengine kuweza kutambuliwa na radar.

Hapa swali ni mchanganyiko wa material zipi zinafanya mchawi asionekane??!;, ukiuliza unaweza kuambiwa huo mchanganyiko na ukashangaa na ukajuta kwanini uliuliza.
Mkuu mchanganyiko huo umejaa kila pahala huku kwetu
 
Mwenyewe nimetafuta sana uchawi ata niwe napaaa, miaka 7 saivi sijapata kila nikienda kwa wahusishwaji wanasema hawajui kama vile rupea ya Germany

Natumain apa lazima tupate huo mchanganyiko ili nipae maana uko juu angani hamna foleni
 
Mshana Jr eeh....kielelezo hiki hapa.Do the needful
Kuna dau nilishaweka na bado lipo.... niroge upate sh laki 3 cash (kutokana na uwezo wangu) usiulize kuhusu detail zangu maana uchawi ni supernatural unaweza kuja kwangu bila hata kujua jina langu..
 
Uchawi ulianza kabla ya Sayansi, Vitabu vya dini vinauzungumzia uchawi kuwa upo na kutukataza tusiufanye. Qur an inauzungumzia uchawi kama ni dhambi kubwa sana kuitenda kuliko dhambi zote za duniani, yaan ukifanya uchawi umefanya dhambi kubwa ziadi kuliko zote duniani, then inafata ushirikina, japo ushirikina na uchawi ni baba mmoja mama tofauti. Hizi ni dhambi kubwa kuliko kuua. Naomba niwasihi ndugu zangu waislam wasitamani kuujua wala kuufanya uchawi ila wajue tu kuwa upo na wajue namna ya kujikinga nao.

Wanasayansi wanaujua uchawi na wanaufanya pia, katika sayansi zao lazima washirikishe na uchawi pia, kwamfano ndege kupaa juu kupasua mawimbi... Bila kushirikisha uchawi mwanasayansi hafanikishi hili,
Ujenzi wa barabara, kuna sehemu barabara zinapita inakatwa miti mikubwa.... Miti ambayo wachawi wanaitumia katika mambo yao, hivyo basi mkandarasi kama hajafanya uchawi na kwenda nao sawa hawezi kufanikisha jambo lake, wachina wanaojenga barabara kubwa na madaraja makubwa nao ni wachawi sana tena sana.
Muelevu hawezi kunipinga, mjinga anaweza kunipinga kutokana na kutokujua kwake.

Note: Uchawi upo, utakuja kuujua kama upo yakikufika mambo, ipo siku.
 
Hapa ndipo napata shida kwamba kuna dhambi kubwa na ndogo? Na je nini kipimo cha dhambi?
 
Mshana Jr ni mbinafsi sana nilimuomba anifundishe Dawa kuna boss wangu nimloge atulie akanizungusha wachawi ni wabinafsi sana wanataka watuchezee Makalio yetu tu kutusaidia hawataki
hahahaha.sema maboss wanalogwa sana basi tu,eti unakuta mtu anamloga boss kila akipeleka issue yake boss hapindui,,unakuta jamaaa wala sio mtu productive kabisa,ila wewe ulie mtu potential kwake ukigusa kitu utaskia unaona Magu alivyobana
 
mkuu kuna sehemu ndani ya hii tz naskia wanauza uchawi kilo shs 2000 ukinunua mwingi wanakupa na niongezaa
Mwenyewe nimetafuta sana uchawi ata niwe napaaa, miaka 7 saivi sijapata kila nikienda kwa wahusishwaji wanasema hawajui kama vile rupea ya Germany

Natumain apa lazima tupate huo mchanganyiko ili nipae maana uko juu angani hamna foleni
 
Kuna dau nilishaweka na bado lipo.... niroge upate sh laki 3 cash (kutokana na uwezo wangu) usiulize kuhusu detail zangu maana uchawi ni supernatural unaweza kuja kwangu bila hata kujua jina langu..
Tuma hela ndo nikuroge. We unataka nikuroge kabla? Nani atanilipa?
 
Back
Top Bottom