Recent content by Nkamangi

  1. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari

    Ndugu Mponda needs to go back to IHI to continue doing whatever he was doing there. Hivi hakunaga recruiting agencies waje wajibebee madaktari wa Kitanzania wakahudumie nchi nyingine? Kama ni kiapo kwani kilisema kuhudumia watanzania tu? si binadamu yeyote?
  2. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Usichakachue Mawazo Express your Self!!!

    Why the speechlessness?
  3. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Usichakachue Mawazo Express your Self!!!

    I'm thinking, why do these people pay me so much money just to sit here all day? Then the rational part of my brain just told me to shut up and thank God for my half full glass of life
  4. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    Ingekuwa nchi nyingine ungekuta "drastic measures" zimechukuliwa watu wamejiuzulu na kufukuzwa. Tz mpaka tume iundwe tutakuwa tumeshasahau siku nyingiii
  5. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Kuwa nje ya nchi wakati wa tatizo kubwa la umeme ni ishara kuwa bado hatuna kiongozi

    Colonialists should never have left... I am tempted to say
  6. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Whats wrong with African mothers?

    Wanawake wengi wanaoolewa na wazungu hawajasoma au ni wachimba dhahabu hivyo kusimamia mtoto shule sio wengi wanaweza. Yes I said it, sue me
  7. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Kuna mtu kaenda mwanzo mwanzo kabla hajavuma huyo mzee, kapima bado ni hiv positive, huenda imani yake haijamponya... Ukienda uwe na imani
  8. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Makombora yatua nyumbani kwa Pinda - Askari Wafuta Picha

    What is a medical doctor doing in the ministry of defense anyways? Halafu tunasema hatuna madaktari, afukuzwe aende hospitali ya mnazi mmoja unguja, tunahitaji waganga huku ati?
  9. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Ze comedy na mabomu ya bongo la mboto

    Kwa ujumla that show is overrated it's high time it was cancelled. Neext?!
  10. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Msafara wa First Lady waua mmoja Ruvu

    Anakuwa na msafara kwa nini?
  11. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Game Theory, FMESS

    Fmes decided to stop giving away "family secrets" I suppose, GT must have been threatened aka warned. What a void they have left
  12. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Jina la biashara

    la lugha gani? kiingereza, kiswahili, kiyunani au kimatumbi? Seriously
  13. Nkamangi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wanawake wapoedesha Magari wapo "tense" sana ?

    such public displays of stupidity and narrow mindedness should be outlawed
  14. Nkamangi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, afanyiwa upasuaji wa kichwa

    Nimeambiwa yule bingwa wetu Kinasha wa MOI "tumemwacha amestaafu", wajanja huko kusini wamemchukua. How stupid is that?
  15. Nkamangi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, afanyiwa upasuaji wa kichwa

    Hivii, Tanzania kuna waganga wa upasuaji wa ubongo? This should be a wake up call for Kikwete and his gang, kukiwa na emergency hakuna cha kukimbilia Ulaya wala Afrika kusini
Back
Top Bottom