Whats wrong with African mothers?

Whats wrong with African mothers?

Wasalaam Ushirombo,

Mosi, tupe mifano ya watoto waliozaliwa na mama weusi na baba weupe wasio na mafanikio hili tuweze kuchangia. Bob Marley alizaliwa na kulelewa na mama mweusi lakini kwa kiwango chake aliweza kufanikiwa na mpaka leo hii yeye ni legend wa music wa kuruka ruka (reagae).

Pili, inategemea huyo mama mweusi anaishi katika mazingara gani? usitegemee mzungu kuja Tanzania na kuzaa na mwanamama wa kiswahili muuza genge utegemee kwamba mtoto atayelelewa na huyu mama ataweza kulingana na mtoto atayelelewa huku akiwa amezungukwa na nyenzo za kuweza kujinyanyua kimaisha na kielimu.

Tatu, your hypothesis is too general, you need to narrow it down. Mfano what is your target group? Mzungu wa russia na mmatumbi?

Shadow

Bob Marley alikuwa mvuta majani. Kwangu mimi, pamoja na mafanikio(kifedha na umaarufu) aliyopata, bado naona kama hoja ya Mchungaji inasimama.
 
Ni kwa sababu baba wa kiafrika anakata viganja anamtia adabu njema mtoto, sasa baba wa kizungu kujumlisha mama wa kiafrika ni mama wawili, teh teh teh.
 
...
comments please.... we need a big study to prove this hypothesis, Will look for funding Mtanzania fanyie PhD hii kitu, I assume wa mama wa kiafrica wanashida kwenye malezi ya watoto...Mwafrica wa kike na women of substance hebu toeni hoja

Nakumbuka Baba yangu pamoja na kuwa hakwenda shule ya maana, kwenye miaka ya '80 akiwa na miaka 66 alikwisha niambia jambo hili la la tabia na akili zisizotulia za "machotara" (halfcast) hata hawa wa kiarabu! Kwa ujumla nilifuatilia kuanzia tulio soma nao darasani na niliona kuna ukweli ndani yake!

Mch. Masanilo wanaokushutumu ni kujihami tu bila kushughulisha akili zao japo kidogo, ndo maana hapo kwenye red umeomba wazamivu wafanyie study hoja yako. Nakubaliana na wewe kwa 100%. Wengi wa machotara hasa mama akiwa mwafrika, kuna jambo ambalo si la kawaida katika akili zao. Mmoja wao ni mke wangu, kwa vile baba alikwisha ni-caution madhaifu yao naishi naye kwa akili!

Study itatoa na percentage kwa fact ya hoja yako!
 
Kwani wale mateja wa jangwani ni machotara? Mie nafikiri machotora wana mafanikio makubwa kulinganisha na race zingine. Ila hapa mchungaji amewapambanisha machotara vs machotora. Yawezekana mkeo ndo anaishi na wewe kwa caution
 
Wanawake wengi wanaoolewa na wazungu hawajasoma au ni wachimba dhahabu hivyo kusimamia mtoto shule sio wengi wanaweza. Yes I said it, sue me
 
Kwani wale mateja wa jangwani ni machotara? Mie nafikiri machotora wana mafanikio makubwa kulinganisha na race zingine. Ila hapa mchungaji amewapambanisha machotara vs machotora. Yawezekana mkeo ndo anaishi na wewe kwa caution

Haha....Mwanamke anaishi kwa akili ili alinde ndoa ya mume *****...na Mwanaume anaishi kwa akili ili adumishe ndoa na Mke *****...so 1+1 ni kuwa tuishi na wenzi wetu kwa akili.
Big up!
 
Kwani wale mateja wa jangwani ni machotara? Mie nafikiri machotora wana mafanikio makubwa kulinganisha na race zingine. Ila hapa mchungaji amewapambanisha machotara vs machotora. Yawezekana mkeo ndo anaishi na wewe kwa caution

Jina lako linafanana na Katibu wa CCM lakini hujamuelewa Mchungaji, kifupi ni hivi:-

"Baba Mzungu + Mama Mweusi = Chotara" (Hawana mafanikio makubwa)
"Baba Mweusi + Mama Mzungu = Chotara" (Wanafanikiwa kimaisha) hawa ndo alio wataja kwenye post yake!

Yeye anachotaka ni utafiti ufanyike ili kama ni kweli ni kwa percent ngapi na kwa nini?
Kuishi kwingi kuona mengi, mambo mengine siyo lazima uingie darasani, tazama jamii inayokuzunguka kama pilot sample kisha uje na comment!
 
Thanks Mazee!

Wengine kuelewa vitu vyepesi hadi makonzi vichwani.
 
Wadau something has just come on my mind, msinishambulie tafadhali , nimeangalia kwa makini watoto wanaozaliwa na wazazi wa mixed races wanakuwa na future tofauti sana. Mathalani baba anapokuwa mzungu na mama mwafrica watoto mara nyingi huishia jela ama kutokuwa na future inyoeleweka nina mifano mingi tu....lakini ukiangalia kwenye couples ambazo baba ni mwafrica na mama mzungu watoto waliowengi huwa na future nzuri sana, nitatoa mifafono hapa, Leona Lewis, baba mweusi mama Mzungu, Lewis Halmiton, baba mweusi na mama Mzungu, Akina Rio Fedirnand mama mzungu baba black, haya na raisi wa dunia Baraka Husein Obama, baba black na mama Mzungu, Tiger Woods mama mzungu baba Muasia najua kuna exceptions kama akina Alexandra Burke et al lakini ukiangalia walio wengi waliozaliwa kwenye mixed races mama mweusi wanakuwa hawana uelekeo....

comments please.... we need a big study to prove this hypothesis, Will look for funding Mtanzania fanyie PhD hii kitu, I assume wa mama wa kiafrica wanashida kwenye malezi ya watoto...Mwafrica wa kike na women of substance hebu toeni hoja

Japokuwa observation yako inatakiwa kuwa supported na empirical study, ila kuja kwenye obervation harakaharaka,

kwa mtazamo wangu ni kuwa, ni rahisi sana kwa mama wa kiafrika kuji-commit kichwakichwa kwa mwanamume wa kizungu na kuamua kumuachia kila kitu ili ampachike ujauzito bila hata kumsoma mwamume huyo kama ni committed kwake na familia au alikuwa ana lengo la kupata black test of sex tu, kichwani mwa mwanamama huyu wa kiafrika kunakuwa kumejaa akili ya kuzaa na mzungu basi. Matokeo yake unakuwa wakina mama wengi wanajazwa ujauzito na wanaume wa kizungu na kuwatekeleza wao na watoto wao.

Ukija kwa kina mama wa kizungu atakuwa tayari kukupatia penzi in a short time lakini suala la kukuachia umpachike mimba litachukua muda mpaka atakapojiridhisha kuwa kweli wewe ni mwanamume committed kwake na familia, issue hapo siyo kuzaa na mwanamume wa kiafrika bali issue ni kuzaa na mwanamume aliye-committed kwake na familia.
 
Rev the observation,,, interesting... Muelekeo upi?

Umewasahau wanaotamba wengi America.... akina JZ, M Jackson, Thandie Newton, Denzel, etc
 
Sina facts za uhakika na hili jambo but am sure watu wengi watakubali kuwa machotara wengi kidogo hazijatulia kichwani.maybe coz they dont fit in upande waafrika au wazungu yaani wanakuwa katikati bila mwelekeo
 
Back
Top Bottom