Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, afanyiwa upasuaji wa kichwa

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Kenya PM Odinga hospitalised

agwambo.jpg


Prime Minister Raila Odinga has been admitted at Nairobi Hospital suffering from fatigue June 29, 2010

By ANTHONY KARIUKI
Posted Tuesday, June 29 2010 at 10:12

Kenya Prime Minister Raila Odinga has been admitted to Nairobi Hospital suffering from fatigue.

Mr Odinga went to the hospital Monday evening after presiding over a function and later feeling "some general exhaustion".

"I would like to inform you and the nation that the Prime Minister is unwell but he is in a fit and stable condition," said a statement from Mr Odinga's office.

He is been treated for fatigue and is expected to remain in hospital for a few days.

Restrict access

"After tests, doctors started treating him for fatigue. The doctors have further recommended complete bed rest for a few days and they will confine him in hospital for that period.

"During that period, the hospital will restrict access to him to ensure he gets the rest that he needs," said the statement.

His office, through spokesman Dennis Onyango, said the PM's doctors had reported that he was in a good enough "condition to come to office and work as usual if he feels".

"But they are not allowing that. They strongly recommend that he takes the rest."

His office said it will update Kenyans on Mr Odinga's condition in due course.

Mr Odinga had officiated at a function at the Nairobi Dam last evening, where he launched a project to reclaim the dam.

The US-based Global Peace Festival Foundation will remove water hyacinth that chokes the dam and turn it into organic fertiliser. The same organisation has been involved with efforts to clean the Nairobi River.

Hectic schedule

The PM is known to keep a hectic schedule and attends up to three functions a day.

On Monday, he attended a joint Parliamentary Group meeting of PNU and ODM at the Kenyatta International Conference Centre, Nairobi to lay strategy on ensuring the proposed constitution is passed at the referendum and in the evening he was chief guest at the Nairobi Dam event.

Mr Odinga has, in recent weeks, been actively campaigning in favour of a new constitution that will be subjected to a referendum on August 4. He spent two days in western Kenya last week wooing locals to vote for the document.

Daily Nation: - News |Kenya PM Odinga hospitalised
 
Kenya Prime Minister Raila Odinga 'has head operation'

Page last updated at 16:02 GMT, Tuesday, 29 June 2010 17:02 UK


_48207469_009368457-1.jpg



Raila Odinga has been busy campaigning for a new constitution

Kenya's Prime Minister Raila Odinga has had an operation to remove fluid on the brain, doctors say, after initial reports he had been hospitalised for exhaustion.

Neurosurgeon Oluoch Olunya, who carried out the operation, said he was recovering in the Nairobi Hospital.

"I'd like to assure the country he is actually well," he said.

The BBC's Peter Greste in Nairobi says Mr Odinga, 65, has been one of Kenya's most energetic politicians.

In recent months, he has been campaigning particularly hard to win support for a new constitution, with no questions about his physical fitness.

RAILA ODINGA - THE STORY SO FAR


  • Prime minister since 2008
  • Joined power-sharing government in deal to end violence after saying he was robbed in 2007 poll
  • Son of Kenya's first vice-president
  • Ethnic Luo, related to US President Barack Obama
  • Joined and left numerous different political formations
Odinga: Kenya's king-maker


So our correspondent says Tuesday's statement from his press spokesman came as something of a surprise.

He had said Mr Odinga, was fit to work but had been advised to rest.

Mr Olunya said the prime minister had checked himself into hospital on Monday afternoon, complaining of a headache and fatigue.

He said there had been a build-up of pressure, which was relieved when some fluid was removed through a small opening in the skull.

Mr Olunya said the pressure might have been caused by him hitting his head while in a car three weeks ago.

"He is sitting comfortably in his room," he told journalists, adding that the prime minister should be fit to leave hospital in five days' time.
Shaky coalition

Until now, most of the questions about the health of Kenya's political leaders have been directed at President Mwai Kibaki, our correspondent says.

He disappeared from public view shortly after he was first elected in 2002, and rumours persisted that he had suffered a stroke.

His staff, however, consistently denied he had suffered anything beyond minor health issues.

Mr Odinga has been prime minister since 2008 under a deal brokered to end months of violence after his supporters claimed he had been cheated of victory by allies of President Kibaki.

The coalition government remains shaky but both men are campaigning in favour of the new constitution ahead of a referendum due in August.
 
Hivii, Tanzania kuna waganga wa upasuaji wa ubongo? This should be a wake up call for Kikwete and his gang, kukiwa na emergency hakuna cha kukimbilia Ulaya wala Afrika kusini
 
i wish the PM the quickest of recoveries

Word is the guy is in high spirits and he addressed the Nation from his hospital bed that all is well.
It was a 'minor' operation according to the media.

sick.jpg

Prime Minister Raila Odinga and his wife Ida at the Nairobi Hospital June 29, 2010. The PM underwent a 'minor procedure' to relieve pressure outside his brain.



 
Hivii, Tanzania kuna waganga wa upasuaji wa ubongo? This should be a wake up call for Kikwete and his gang, kukiwa na emergency hakuna cha kukimbilia Ulaya wala Afrika kusini

Nakubali kabisa maoni yako maana Kenya waganga kiboko. Cheki jamaa kafanyiwa upasuaji na sasa anatulia mswanoo!!

dnRAILA2906pa.jpg

Prime Minister Raila Odinga at Nairobi Hospital on Tuesday. Dr Olunya, a neurosurgeon said Mr Odinga checked into the hospital on Monday at 6 p.m. complaining of headache and general fatigue and was later operated on to relieve pressure outside his brain. He is to stay at the hospital for the next five days.
 
dnRAILA2906pb.jpg


Prime Minister Raila Odinga with is wife Ida (left), daughter Rosemary (right) and his sister Ruth Adhiambo at Nairobi Hospital on Tuesday
 
DNKalonzoRaila2906.jpg


Vice President Kalonzo Musyoka with Prime Minister Raila Odinga at Nairobi Hospital on Tuesday
 
Hivii, Tanzania kuna waganga wa upasuaji wa ubongo? This should be a wake up call for Kikwete and his gang, kukiwa na emergency hakuna cha kukimbilia Ulaya wala Afrika kusini

Ma-neurosurgeon waliomfanyia upasuaji hawa hapa...

DnRailaHosp2906.jpg


Nairobi Hospital's neurosurgeons Dr Oluoch Olunya (left) and Dr Mahmood Dureshi address the press June 29, 2010.
 
Nimeambiwa yule bingwa wetu Kinasha wa MOI "tumemwacha amestaafu", wajanja huko kusini wamemchukua. How stupid is that?
 
Nimeambiwa yule bingwa wetu Kinasha wa MOI "tumemwacha amestaafu", wajanja huko kusini wamemchukua. How stupid is that?

Kwani kuna mtu serikalini ambaye anajali? Wote wakiugua magonjwa makubwa ni serikali ndiyo inawalipia kwenda kutibiwa nje. Maana serikali iko tayari kukodi ndege kwa ajili ya kumsafirisha mgonjwa kwa kuwa tu wanajua hosp zetu hazina watalaam wala vifaa. Lakini hela hizo ambazo zinatumika kukodi ndege na kulipia matibabu ya nje, zingeweza kutumika kununulia vifaa na pia kuboresha mishahara ya madaktari na huduma hiyo tungefaidi wote walala hoi na hao walala hai.
 
Nimeambiwa yule bingwa wetu Kinasha wa MOI "tumemwacha amestaafu", wajanja huko kusini wamemchukua. How stupid is that?

Kwani wafikiri ni huyu tu!!!! Kuna wataalam wetu wengi wanastaafu na kuachiwa huria na wajanja wanawachukua mara moja. Nchi za Ulaya na za Kusini mwa Afrika uone zinavyofaidi huduma za wastaafu wetu!!!! Inanikumbusha wimbo wa kanisani: 'Jiwe waliloliacha waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni x 2'
 
Nakubali kabisa maoni yako maana Kenya waganga kiboko. Cheki jamaa kafanyiwa upasuaji na sasa anatulia mswanoo!!


dnRAILA2906pa.jpg


Prime Minister Raila Odinga at Nairobi Hospital on Tuesday. Dr Olunya, a neurosurgeon said Mr Odinga checked into the hospital on Monday at 6 p.m. complaining of headache and general fatigue and was later operated on to relieve pressure outside his brain. He is to stay at the hospital for the next five days.
Wapo Bongo!Mkuu Kinasha kama ameondoka ameacha watu aliowafundisha na asiowafundisha ambao alikuwa nao kwenye kitengo wamesoma German na Japan na wanapasua kila leo tatizo la wanasiasa wa bongo wanapenda posho na ujiko wa kukimbilia majuu vile vile hawabwereshi teknolojia ktk sekta ya afya. KWENYE HICHO KITENGO KUNA WA CHINA AMBAO huwa wanakuja kwa njia ya kubadilishana pia wapo.Kwa vichwa vifaa na nguvu kazi Vipo,vifaa toka uswis thru MOI.
 
Halafu Watanzania mkiambiwa Kenya taifa kubwa mnapiga kelele. Ona mambo safi kama haya. Operesheni nzito kama hizi zinafanyika hapa hapa. Hospitali za Tanzania ni bure kabisa. Ukilazwa ujue utakapotoka unatoka na ugonjwa mwingine. Unaenda hospitalia na malaria unatoka na Ukimwi. Sasa wapi na wapi.
 
Halafu Watanzania mkiambiwa Kenya taifa kubwa mnapiga kelele. Ona mambo safi kama haya. Operesheni nzito kama hizi zinafanyika hapa hapa. Hospitali za Tanzania ni bure kabisa. Ukilazwa ujue utakapotoka unatoka na ugonjwa mwingine. Unaenda hospitalia na malaria unatoka na Ukimwi. Sasa wapi na wapi.
Acha kasumba za kijinga, hebu jiulize kama kusingekuwa na UNON hizo hospitali zingakuwapo na ni wakenya wangapi wanamudu huduma zake? by the way to drain fluid from the brain ni minor operation haihitaji kufungua skull! na hata Tanzania wanafanya!
 
Tanzania madaktari bingwa tunao isipokuwa hawasaminiwi; na viongozi wanatumia mwanya wa kuhujumu kwenda kutibiwa nje ya nchi. Na wakati mwingine wanatibiwa na madaktari wa kitanzania ambao huombwa na hizo nchi kutoa utaalamu wao, nataja madaktari wawili ambao kwa muda murefu wamekuwa wakienda Afrika ya Kusini kutoa huduma za upasuaji wa kichwa na kifua Dr.Kinasha wa Muhimbili na Dr,Chigulu wa KCMC.Viongozi wanatakiwa kuwathamini wataalamu wa kitanzania pia pesa wanazotumia kwenda kutibiwa nje zinunue vifaa vya hospitali na kuziboresha hospitali zetu.
 
Odinga is among the best East African politicians currently in power; he cares a lot about the people he leads, while other politicians focus on serving the powerful only. I really wish him a quick recovery.
 
Back
Top Bottom