newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,378
- 550
natafuta jina la biashara,na nina imani kubwa nitapata ushauri mzuri hapa JF.
aina ya biashara
kutoa huduma ya matangazo kwa wafanyabiashara wadogo,e.g madalali,wauza huduma za saloon,photographers ,real estate agents and job vacancies
matangazo yatakuwa online,kwa bei ndogo kabisa.nitaweka Information kiosk(terminals),ktk maeneo ya vituo vya mabasi,petrol station,etc
e.g mtu akitaka kujua nyumba za kupanga ,anaenda oilcom ya karibu anacheki bure bila kulipia etc.
for a small fee of lets say 500 kwa tangazo moja.unaweka biashara yako.
jina liwe fupi,catchy name ,liwe rahisi kukumbuka .
nawasilisha