Ze comedy na mabomu ya bongo la mboto

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,277
9,912
Nimeangalia ze comedy Tbc 1 sijaipenda hii kwenda pale uwanja wa wa uhuru na kuanza kuigiza hukuwa wahanga wa tukio hilo wakiwa na majönzi na simanzi nimechefuka na hii
 
Kwa ujumla that show is overrated it's high time it was cancelled. Neext?!
 
Kwani watu wakiwa kwenye majonzi ndo hakuna hata muda wa kujiliwaza? Ni namnatu badala ya ya kuwafariji kulia au kuhuzunika nao angalau unawapa muda hata wa kutabasamu na kucheka. kumbuka kicheko ni tiba bora ya kutibu mawazo na majonzi.

nafikiri hapa ni mtizamo tu
 
Ile si commedy tena, ni kuganga njaa ndio maana kwenye mikutano ya wanatumika kuvutia mahudhurio!
 
Lakini nimeona kama vile wamekatisha ile sehemu ambayo ni ya kejeli kwa waathirika.
Otherwise ni upuuzi sana ule, na wanaudhi sana!
 
Ni kweli lakini hiki kipindi kinaponya wagonjwa wenye pressure na kinaongeza siku za kuishi kitaalamu zaidi
 
tunapoteza mwelekeo kabisa, comedy ya nini na wakati watu tunaomboleza na msiba mkubwa kiasi hiki, uliosababishwa na uzembe...dont we have values as Africans, na hata kuweka days for grieving etc....
 
Kwani watu wakiwa kwenye majonzi ndo hakuna hata muda wa kujiliwaza? Ni namnatu badala ya ya kuwafariji kulia au kuhuzunika nao angalau unawapa muda hata wa kutabasamu na kucheka. kumbuka kicheko ni tiba bora ya kutibu mawazo na majonzi.

nafikiri hapa ni mtizamo tu

naona matukio kama hayo wanayafurahia ili wapate cha kuigiza kama wamekosa na wao siwaseme wamefulia
 
Hata mkulu alipotembelea majeruhi hospitalini alikuwa anacheka wakati anapewa maelekezo na madaktari.
Sasa sijui kilichokuwa kinamchekesha katikati ya majonzi.
No wonder hawa comedian.....
.
 
Nimeangalia ze comedy Tbc 1 sijaipenda hii kwenda pale uwanja wa wa uhuru na kuanza kuigiza hukuwa wahanga wa tukio hilo wakiwa na majönzi na simanzi nimechefuka na hii
Hee wewe bado unaangalia the original comedy? basi hata wewe unamatatizo flani flani.
Wenzio tbc 1 tuliacha kuitizama siku nyiiiingi sana. Yaani hapo tbc kuanzia uongozi hadi hao comedy
wote ni chenga tupu
 
Wao wapo ktk jamii nafikiri kufika pale ni sawa tu. Hawakudhiaki mtu na watoto walimfuata Joti na kufarijika kwa namna moja ama nyingine
 
Back
Top Bottom