"Hali hiyo siyo ilijitokeza tu Sumbawanga... najua tulimkwaza Mhashamu Baba Askofu (Damian Kyaruzi), tumekejeli imani ya dini yake, tunaomba radhi, mimi naomba radhi kwa niaba ya CCM na Serikali si hapa tu, lakini ni maeneo mengi nchini kama vile majimbo ya uchaguzi ya Hai na Same ambapo baadhi...