Pinda amuumbua kikwete

njiwamanga

Member
Oct 21, 2010
35
3
"Hali hiyo siyo ilijitokeza tu Sumbawanga... najua tulimkwaza Mhashamu Baba Askofu (Damian Kyaruzi), tumekejeli imani ya dini yake, tunaomba radhi, mimi naomba radhi kwa niaba ya CCM na Serikali si hapa tu, lakini ni maeneo mengi nchini kama vile majimbo ya uchaguzi ya Hai na Same ambapo baadhi ya wagombea katika kuomba kura ya ndiyo walilazimika kutumia baadhi ya maneno yanayotumika katika injili ya mateso" alisema Waziri Mkuu Pinda.
Mh Pinda ameomba radhi kwa vitendo vya udini ccm walivyofanya.JK naye aombe radhi kwani ukweli ndio huu aliotoa Pinda sio maneno ya JK wakati wa kuzindua bunge .
Kwa undani na upana soma MWANANCHI.
 
Back
Top Bottom