Dawa ya kutibu polisi katika maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya kutibu polisi katika maandamano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by njiwamanga, Feb 14, 2011.

 1. njiwamanga

  njiwamanga Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ili demokrasia ya kutoa maoni kwa njia ya maandamano isiingiliwe na jeshi la polisi imegunduliwa dawa.Dawa hiyo ni kuwa iwapo polisi wataingilia maandamano na kupiga,na kuua watu ktk maandamano basi jamii na hasa vijana walipze kisasi kwa familia au ndugu zao ambao wapo uraiani kwa kuwafanyia kitendo kile kile walichofanya polisi kwa waandamanaji.changia hoja hii
   
 2. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama tunataka kufika huko kupoteza uhai wa mtu ambae hajausika. Fikiria wewe ni ndugu yake afande nanihii uuliwe kwa ajili ya ndugu yako? TAFAKARI.
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tatizo huwa ni vigumu sana kumjua ni askari gani kaua kwa kuwa huwa wanavaa helmet na kuziba nyuso zao hivyo kutokuwa rahisi kuwatambua,hata hivyo tukumbuke kuwa ile ni kazi kama zilivyo kazi nyingine na wao kwa kuwa wanafuata amri zaidi hivyo huwa ni vigumu sana kutotii amri za wakubwa zao,la maana ni kutafuta njia nyingine mbadala hii ya kulipiza kisasi kwa style hiyo hakuna atakayebaki salama.
   
 4. Kagwina

  Kagwina Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: May 1, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda Muhimbili ukapimwe kichwa chako, inawezekana umewehuka!
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!why are using abusive language!!
   
 6. n

  nyosingo Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo mkuu haifai hata kwenye biblia imeandikwa usilipize jema kwa baya
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono kama utakuwa umemtambua alie ua...
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  jino kwa jino....
   
 9. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #9
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hii ilikuwa sera ya chama fulani cha siasa lakini mwisho wake wametulia kimyaaa pengine mgetafuta njia ya kistaarabu zaidi nadhani hata biblia imesema "usiue" ikasema "samehe saba mara sabini"
   
Loading...