Taarifa zangu za kiinteligensia kwa Kikwete na viongozi wote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa zangu za kiinteligensia kwa Kikwete na viongozi wote

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Greek, Feb 18, 2011.

 1. Greek

  Greek Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chonde chonde mzee, Ikija ikatokea siku kumetokea uzembe (ajali kama mnavyoiita nyie) mwingine wowote wa kipuuzi kama huu wa gomz/mbagala na kwa namna moja au nyingine mimi ama familia yangu ikaumia au kuathirika, USITHUBUTU kuja kunitembelea hospitali, wala nyumbani kwangu kunipa pole wala mkono wako wa pole, kwa kuwa ntakufukuza kama mwizi au pakashume mpaka watu washangae na hayo macamera yenu ntakutupia usoni siku hiyo na kuandika historia. Hii ni kutokana na kwamba hata unipe vilaki vyako havitaweza kunirudishia mkono au mguu wangu utakaokuwa umekatika wala kunifufulia baba au mama yangu aliyefariki. Tena usipokuwa makini raisi mzima unaweza ukala ngumi za uso siku hiyo, sitanii hata kidogo ila nakutaadharisha mapema bwana mkubwa. Hivi kweli unataka kuniambia hii ni ajali na siyo uzembe? Hauwezi kuwa haujalewa. Taarifa hii mpashe na mwenzako Mwamunyange na mjinga mwenzake Mwinyi. Siku njema mzee...!
   
 2. Greek

  Greek Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani usithubutu that day.
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Inaonekana mkuu haya maafa yamekukumba! Pole sana Mungu atakusaidia upone HARAKA
   
 4. I

  Idofi JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 1,541
  Likes Received: 820
  Trophy Points: 280
  viongozi wa tanzania ni wapumbavu sana
   
 5. Greek

  Greek Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima ajiuzulu mtu hatukubali.
   
 6. Greek

  Greek Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kwanza ni kwanini jeshi letu linajifanya lina siri wakati waliokufa ni ndugu zetu? Siri gani wakati wameshaumbuka.?
   
 7. Kahema

  Kahema JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mi nilisha wambiaga siku nyingi wetu hawana kazi yoyote ya maana kwa mstakari wa nchi hii isipokua kusubiri bia za bure na kutongoza wake za watu.
   
 8. Greek

  Greek Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti nikweli wanajeshi huwa hawajiuzulu hata iweje?
   
 9. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Vipi ukifa wewe utamchapaje ngumi???????
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Itakuwa nafuu kwa rais!
   
 11. Greek

  Greek Member

  #11
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh no wonder, just lyk your username. Anyway we subiri tu 4 that day ndo utakapoona maiti inamchapa ngumi mkwere wenu.
   
 12. Greek

  Greek Member

  #12
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayajanikumba isipokuwa tu napata picha kama ndio ingekuwa nimekubwa halafu niko hospitali labda ndio nshapoteza mkono alafu ndio nafungua macho namuona mkwere au kiongozi yeyote muhusika kajipendekeza kuja kunipa pole lazima nimle vichwa.
   
 13. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  unajua utakuwa katika hali gani? omba siku hiyo usiwe maiti na akakutembelea motuary
   
 14. njiwamanga

  njiwamanga Member

  #14
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapumbavu ni sisi watz hatuhukui hatua yoyote
   
 15. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  WANANCHI HATUKO SALAMA TENA NA MALI ZETU, KIIO KILA LEO NA MAYATIMA
  KUONGEZEKA HIVYO SERIKALI NZIMA IJIUZULU HATA KABLA YA MAANDAMANO
  YA KUTETEA 'UHAI WA WENZETU' KUANZA KOTE NCHINI


  Mheshimiwa Kikwete kama amiri jeshi mkuu ajiuzulu pamoja na serikali yake. Jukumu la msingi halijazingatiwa; wananchi hatuko salama!! Tusianze kuzungusha kiswahili hapa ni uhai umepotea kwa uzembe!!! Hawa mayatima wanahitaji sauti zetu!!

  Hatutaki tena tume kwa hata kule Mbagala chombo kama hicho hakikutusaidia zaidi ya kuwapa wanasiasa na makampuni ya kibiashara kujinadi kwenye kioo cha televisheni mgongoni mwa msiba na damu kwa wengine.

  Jukumu la kwanza la kuhitajika uwepo wa serikali katikati yetu NI KUHAKIKISHA USALAMA KILA MMOJA WETU NA MALI ZETU. Kwa mtaji hizi picha nilizoona, serikali nzima ya CCM ijiuzulu mara moja

  Mauaji Arusha walitupuuza kana kwamba kuliuaua nzi tu. Kule kwenye mashamba ya mpunga wala hawakujishughulisha kitu kuwajibika mtu. Sasa kama kweli kuna JAMBO AMBALO KIUKWELI KABISA KINATUHITAJI KUANDAMANA MPAKA KUELEWEKE NI KATIKA KUTETEA UHAI WA WENZETU.

  Kwa vifo hivi vyote 17 taifa tumepata yatima wangapiii?????????????
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,112
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  ndo washasema hajiuzulu mtu hapa......
   
 17. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Kwa nini usubiri hadi uumie wewe au ndugu zako? Kwani hao walioathirika juzi siyo binadamu? Au huna uchungu nao? Nasema next time mjamaa anaenda Amana au Muhimbili, wewe tumia taarifa zako za kiintelijentsia ujichanganye na wauguzi halafu tekeleza azma yako kama ulivyoelezea hapo juu.
   
 18. Greek

  Greek Member

  #18
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee hasira ndo zinazidi kunipanda.
   
 19. Greek

  Greek Member

  #19
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na kwa wale ambao bado hayajawakuta ambao mnashangaa kwanini tunahasira wala msijali, kambi za jeshi letu zimetapakaa kila mahali hapa jijini na nchini, ni suala la muda tu, nanyie mtatuhadithi tamu yake.
   
 20. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  I feel Your pain mwana, na sio wewe peke yako unasikia hayo machungu ni walalahoi wote tunayasikia hayo machungu ya kuuliwa au kuumizwa ndugu zetu na hawa Mafisadi wanaosema AJALI kama ni ajli kwanini isitokee huko Ikulu? Tukaanza kufurahia huku mitaani itakuwa tumepunguziwa zigo la kuingia mitaani na kuandamana
   
Loading...