Ndugu wanachama wa jf.
Napenda kuwajulisha kuhusu huduma ya usafiri kwenda Loliondo kwa Babu. gharama zetu ni nafuu sana. Gari lenye uwezo wa kubeba abiria 8 pamoja na Dereva. Gari zina air condition na zimeongezwa uimara kwa mazingira hivyo kukuhakikishia safari ya uhakika. safari inaweza...
Tunapokuwa watu wa TAFAKURI TUKUKA tunapaswa kutambua kwamba kuna taratibu hasi na chanya ktk kuongoza dunia. na ktk kutambua hilo tunapaswa pia kujua kuwa ktk uongozi kuna kiranja mkuu. huyu kiranja mkuu atahakikisha hatokei mwingine atakayekuwa au atakaye mfikia ktk kutoa maamuzi. baada ya USA...
kwa siku ana uwezo wa kuhudumia gari mia 8 au elfu 1. kila gari lina wagonjwa 7, hapo ni nje ya wanaokuja kwa mguu. hesabu yaweza fika lkn hapa tunazungumzia kazi ya kanisa (imani). sasa kubenea atueleze serikali huchukua kodi kiasi gani toka makanisani.
Mh. mzito yuko sawa kwa maana ya kuondoa tatizo sugu la umeme tz. na nssf ni sawa kupewa mradi wa kiwira lkn iwe kitu cha kweli. kama kiwira ina mgogoro waende steagler gouge watupe umeme wa uhakika. wakati uganda wanajitayarisha kuchimba mafuta sisi tunashindana jinsi ya kuiba rasilimali za...
al jazeera ipo mara 2. ile iliyokuwa maarufu kipindi cha vita ilinunuliwa na wamarekani. ikawa copy and paste ya cnn. na kuna al jazeera nyingine lkn haipati uwezo wa kurusha dunia nzima. ukiacha hayo twapaswa tambua vita ni propaganda. haya mabadiliko yanatokea mashariki ya kati ni vita kama...
napenda kuwaambia watz waache kuhoji ukweli bali wachukue ndugu zao waliothibitika na ugonjwa wowote aende na atapata jibu ndani ya siku 7. ni vile hatukumbuki kuwa MITI NA MIMEA ni TIBA. Huyu Mzee hafanyi miujiza bali anatibu KIUKWELI KWELI. TEMBO ndiye mnyama pekee asiyepatwa na MAGONJWA ya...
Watanzania mnazidi kuwa wapumbavu. na kama hakujali kiasi hicho hakufai. hakuna jinsi tutakuwa endelevu kwa tamaduni hizi ngeni kwetu. kumbukeni kwamba tamaduni zetu wote waafrika zinatupa umuhimu wa Mwanamk
hii ni kweli na amefanya vema, na ikiwa anatumia kodi zetu pia si tatizo. kwani hao wanafunzi pia ni watz. kama anatumia hela za wafadhili pia si tatizo. na jinsi alivyo wapata ni jambo jingine ambalo atapaswa kujibu.
pia wapaswa nunua line ya CDMA, hii ni kwa ajili ya internet tuu. ukitumia line ya GSM ndiyo matatito kama hayo yanatokea. wao zantel watakuchukulia ni mtumiaji wa simu na internet na ndiyo maana wamefanya hivyo. HUU NI MTAZAMO WANGU KUTOKANA NA UZOEFU NA HAWA ISP.
ukweli ni wachaga wanaotokea uru ndiyo walio tupa vyakula na kukimbia. ilitokea kipindi sanamu ilipowekwa, na si sanamu hii ionekanayo sasa bali ile ya zamani. na kwa kipindi kile baada ya vita, yeyote angekutana nayo angeweweseka. sababu ilikuwa ni vita vilivyokwisha na uganda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.