The West Policy on Libya Vs Putin

The West Policy on Libya Vs Putin

pumba hujui lolote kama unajua basi umeamua kufumbia macho! Hadi leo hujui kuwa usa walieuata mafuta iraq? hivi na wewe unaitwa great thinker eti? Kawambie wakuoneshe silaha za maangamizi walizosingizia kuwa sadam hussein anazo.

Kabla ya no fly zone usa ilikuwa nchi ya kwanza kusogeza manoari za kivita karibu na libya. Then un haikuwaagiza wakaimpliment no fly zone walijipeleka wenyewe. Then kwa nini wasiende ivory coast kumtoa gbagbo km wanauchungu na raia?

Mbona mipovu inakutoka hivyo?
 
Hakuna chuki dhidi ya USA, ila USA inalalamikiwa kuwa haina haki ktk kutoa uamuzi duniani.
Jiulize mauaji yanayotokea ktk nchi nyingine za Africa, mbona hatuwaoni USA?
Mauaji ya Rwanda, Congo, USA wapo wapi?
Kwanini waende Libya?

Kujibu hoja yako nyingine kwamba ni UN resolution ndiyo iliyo issue No-fly zone na siyo USA.

Jibu, USA wanatumia UN kwa maslahi yao binafsi. Wapo tayari kupeleka Resolution yoyote ktk UN ili ipitishwe kwa maslahi yao. Hakuna nchi yoyote ambayo itaweza kuipinga na kuizuia USA ktk UN.
 
Hakuna chuki dhidi ya USA, ila USA inalalamikiwa kuwa haina haki ktk kutoa uamuzi duniani.
Jiulize mauaji yanayotokea ktk nchi nyingine za Africa, mbona hatuwaoni USA?
Mauaji ya Rwanda, Congo, USA wapo wapi?
Kwanini waende Libya?
Congo tayari kuna majeshi ya UN, wameenda Libya kwa sababu Arab League waliomba msaada wa UN ebu nitajie nchi kumi zinazoweza kuenforce No-Fly Zone kwa ufanisi mbali ya US and her Allies?

Kujibu hoja yako nyingine kwamba ni UN resolution ndiyo iliyo issue No-fly zone na siyo USA.
Nafurahi umekubaliana na hili

Jibu, USA wanatumia UN kwa maslahi yao binafsi. Wapo tayari kupeleka Resolution yoyote ktk UN ili ipitishwe kwa maslahi yao. Hakuna nchi yoyote ambayo itaweza kuipinga na kuizuia USA ktk UN.
Russia na China wana VETO Power na wakipiga kura ya NO basi hiyo resolution haipiti, wacha kuongea kama uko kwenye kijiwe cha kahawa.
 
....1. Vietnam, amani ilikuja baada ya kukubali kushindwa !
2. Korea Kusini/kaskazini, kuna tension kubwa kwa ajili ya majeshi yao !
3. Iraq
4. Afghanistan
5. Haiti
6. Somalia (waliposhindwa, wakawatuma wa Ethiopia!)

1.Vietnam: Naona unajichanganya, nataka kujua kuna amani au hakuna amani baada ya uvamizi?

2. Nenda kasome tena historia ya Korean War, North Korea iliishambulia South Korea kitu kilichopelekea UN na US kwenda kuwasaidia. Kumbuka North Korea ilikuwa inasaidiwa na USSR na China kipindi icho so US isingeweza kuvamia North Korea.

3. Iraq majeshi yote ya US bado hayajaondoka.

4. Afghanistan hawajawahi kuwa na amani tangu 1970s way before hawajavamiwa na USSR au/na USA.

5. Haiti:

6. Somalia: Ilikuwa ni mission ya UN iliyokuwa inajulikana kama Unified Task Force iliyoidhinishwa na UN Security Council Resolution 794 baada ya UNOSOM I kushindwa.

Nchi zilizovamiwa na Marekani na zina amani;
7. Japan
8. Panama
9. Grenada
10. Part ya Germany baada ya vita ya dunia (1945 - 49)
11. Part ya Austria (1945 - 55)
12. Part ya Italia (1945 - 46)
13. Dominican Republic
14. And the list goes on.
 
thanks God for making US as they are bila wao sijui hii no fly zone ungefanikiwa lini huko libya.
 
Acha hasira, Gaddafi anastahili kichapo, kwa taarifa yako ni kuwa Gaddafi alisababisha vijana wetu wengi wa TPDF kupoteza maisha wakati wa vita vya Kagera kwa kumsaidia Idd Amin Dada silaha na logistic kibao kama hufahamu. Gaddafi si rafiki wa Tanzania hata kidogo.

Tukirudi kwenye No fly zone ni kuwa Arab League ndiyo walioomba hiyo kitu UN na UN wakapitisha azimio, sasa kama Gaddafi anavunja azimio kumchapa ni wajibu wa nchi wanachama wa UN na USA ikiwa moja wapo. Kama bado una hasira zako za Iraq too late. Hii kitu ni popular siyo tu ndani ya Libya bali Arab countries, sasa wewe ni nani unalalamikia pilipili usoila?

Kama Gaddafi angeachiwa awaadhibu wananchi wake kwa vifaru na ndege za kivita kisa wameandamana basi hii ingekuwa ni precence kwa nchi zote na Tanzania ikiwemo, tusingeshangaa vifaru vikitumika kudhibiti maandamano Tanzania, ila action hii itawafanya watawala madikteta kufikiria mara kumi kabla ya ku-suppress maandamano ya amani

arab league voted in favour of no fly zone resolution but condemned the Us led bombardment of Libya.
 
Mkuu Greek ni wale wasio juwa kusoma ndio wanachuki na USA. Hata kuandika bango tu imewashinda. Don't even bother about them, they are loooosers of life.[/QUOTma E]

.............. hivi ni nani msomi Dunia hii ?! kwa vigezo vipi !? kuwa bingwa wa mikakati ya dhulmah unaita usomi ? umejiuliza hapa kwenu (TZ) kama kuna wasomi ? watu wanao saini mikata ya kupewa mrahaba 3 % !, kuna vichwa humu vimejaa pumba za CNN na ABC, kisha vinajiita great thinker ! shame on you !

Waambie hao brada! Heri wewe uliyejaa busara za TBC1
 
hii maada tamu, swala la kuvamia libya si UN bali ni USA na Brtn ndio imewapresha UN hili lipo wazi kwa kila mtu usa,france,brt,and other nation wanaosuport watakuwa na interest zao, tusiwe wajinga kwa kutetea mada blindly tuangalie kama nafsi zetu zinaona kuna usahihi wwt wa HIZI nchi kuvamia libya.historia yenyewe ipo wazi, america will hit one nation after another to proctect its interest
 
hii maada tamu, swala la kuvamia libya si UN bali ni USA na Brtn ndio imewapresha UN hili lipo wazi kwa kila mtu usa,france,brt,and other nation wanaosuport watakuwa na interest zao, tusiwe wajinga

Wewe mwerevu hebu tunaomba utuambie ni wapi na lini US waliwalazimisha UN wapeleke hiyo mada barazani na kulazimisha mataifa yote ya umoja huo ya kubali kupitisha no fly zone.
 
Tunapokuwa watu wa TAFAKURI TUKUKA tunapaswa kutambua kwamba kuna taratibu hasi na chanya ktk kuongoza dunia. na ktk kutambua hilo tunapaswa pia kujua kuwa ktk uongozi kuna kiranja mkuu. huyu kiranja mkuu atahakikisha hatokei mwingine atakayekuwa au atakaye mfikia ktk kutoa maamuzi. baada ya USA kufanikiwa kuangusha USSR ambayo ilikuwa mtetezi wa wanyonge, USA imebaki kiranja pekee, na inafanya inavyotaka. ukichunguza asilimia kubwa viongozi waliopo madarakani ni VIBARAKA wa aidha USA au MARAFIKI wa USA.

MAONI yangu ni kwetu kutambua kwamba LOLOTE litokealo ktk nchi masikini lina MKONO wa aidha USA au MARAFIKI zake UMOJA wa UROPA. wanataka tufanye vile WAO WANATAKA na SI V
 
UK PM David Cameroon speech at London Conference on Libya:

Let me welcome you all to London.

Foreign Ministers from more than 40 countries – from America to Asia – from Europe to Africa – from the United Nations to the Arab world. All here to unite with one purpose: to help the Libyan people in their hour of need.

Today is about a new beginning for Libya – a future in which the people of Libya can determine their own destiny, free from violence and oppression.

But the Libyan people cannot reach that future on their own.

They require three things of us.

First, we must reaffirm our commitment to UN Security Council Resolutions 1970 and 1973 and the broad alliance determined to implement it.

Second, we must ensure the delivery of humanitarian aid where it is needed, including to newly liberated towns.
 
Nimeona breaking News ya FOXNEWS ikimkariri mwana diplomasia wa Uturuki akisema kuwa option aliyopewa Gaddafi ni kumtaka aondoke Libya haraka sana kupisha serikali ya Umoja wa Kitaifa na akaongeza kuwa Kanali Gaddafi likely kama amekubali ushauri huona akasema kwa sasa hawezi kuitaja nchi iliyo tayari kumpokea kama mkimbizi!
 
Habari nilizozipata familia ya mzee gaddafi imeshaondoka libya na gaddafi mwenye ajulikani alivyo toka juzi usiku, watoto wake wawili wa kiume ndiyo wanaendeleza mapambano na ali si swari kwa mkuu gaddafi kwani marekani wanasema kunauwezekano wa kleta kikosi cha wanajeshi wa arithini ili kupampana na snaiper wa gaddafi
 
Obama kaongea sasa hivi kwenye NBC kuwa"Gaddafi's days are numbered"na Mama Clinton mchana akaongeza kuwa kwa sasa wanawachuja rebels ili kuwaondoa wale wenye link na Al-Qaida!

Kimsingi utawala wa miaka zaidi ya 40 wa Kanali Gaddafi unaelekea kukoma hivi karibuni,ni miujiza tu itakayomfanya abaki madarakani;Gaddafi alijisahau sana ana jeshi lenye wapiganaji si zaidi ya elfu 10 na wenye vifaa vya kizamani mno hata kuna maeneo wakatolewa na rebels wasio na uongozi unaojulikana!
 
Wanajamvi nimesikia kwenye news kuwa "wakubwa" wanafikiria option ya kuwapa silaha wapinzani ili kuwe na fair play kwenye vita. Teh teh . I see it that way .

Kusema ukweli simuungi mkono Gaddafi but naona hapa kuna jambo zaidi ambalo hatulijui bado.

  • Je hiki kipigo kingetokea kama gaddfi angekuwa mteja wa silaha kutoka UK na USA? No i dont think so . Imekuwa rahisi zaidi kumchukia hatua gadaffi sababu sio mteja wao.?
Inachekesha na kusikitisha soko na majaribio ya la silaha yananatuftwa kwa nguvu hivi.
 
Obama authorizes secret support for Libya rebels

(Reuters) - President Barack Obama has signed a secret order authorizing covert U.S. government support for rebel forces seeking to oust Libyan leader Muammar Gaddafi, government officials told Reuters on Wednesday.

Obama signed the order, known as a presidential "finding", within the last two or three weeks, according to government sources familiar with the matter.

Such findings are a principal form of presidential directive used to authorize secret operations by the Central Intelligence Agency. This is a necessary legal step before such action can take place but does not mean that it will.

The CIA and the White House declined immediate comment.

News that Obama had given the authorization surfaced as the President and other U.S. and allied officials spoke openly about the possibility of sending arms supplies to Gaddafi's opponents, who are fighting better-equipped government forces.

Exclusive: Obama authorizes secret help for Libya rebels | Reuters
 
According to McAuley World Who are these "Rebels" that the US Air Force is providing cover for ... who are these Rebels that we are helping win this Civil War in Libya (Search the names for yourself ... while the US Press will not mention their names, who they are is no secret) The Libyan Fighting Group (LIFG) also known as Al-Jama'a al-Islamiyyah al-Muqatilah bi-Libya is the most powerful radical faction waging Jihad in Libya against Colonel Muammar al-Gaddafi's regime. Shortly after the 9-11 attacks, LIFG was banned worldwide (as an affiliate of al-Qaeda) by the UN 1267 Committee. LIFG was founded in the fall of 1995 by Libyans who had fought against Soviet forces in Afghanistan. It aims to establish an Islamic state in Libya and views the current regime as oppressive, corrupt and anti-Muslim (which is what makes it corrupt and oppressive to the rebels), according to the Canadian Security Intelligence Service. LIFG claimed responsibility for a failed assassination attempt against Gaddafi in February 1996. Fierce clashes between [Qadhafi's] security forces and Islamist guerrillas erupted in Benghazi in September 1995, leaving dozens killed on both sides. After weeks of intense fighting, the Libyan Islamic Fighting Group (LIFG) formally declared its existence in a communiqué calling Qadhafi's government "an apostate regime that has blasphemed against the faith of God Almighty" and declaring its overthrow to be "the foremost duty after faith in God." This and future LIFG communiqués were issued by Libyan Afghans who had been granted political asylum in Britain Emerged in 1995 among Libyans who had fought against Soviet forces in Afghanistan, the organization declared the government of Libyan leader Muammar Qadhafi un-Islamic and pledged to overthrow it. Some members maintain a strictly anti-Qadhafi focus and organize against Libyan government interests, but others are aligned with Osama Bin Laden's al-Qaeda organization or are active in the international mujahidin network. As recently as February 2004, then-Director of Central Intelligence George Tenet testified before the Senate Intelligence Committee that "one of the most immediate threats [to U.S security] is from smaller international Sunni extremist groups that have benefited from al-Qaida links. They include … the Libyan Islamic Fighting Group." Derna is famous as the home of a large number of suicide bombers in Iraq. It is also deeply hostile to Gaddafi. "Residents of eastern Libya in general, and Derna in particular, view the Gaddadfa (Gaddafi's tribe) as uneducated, uncouth interlopers from an inconsequential part of the country who have ‘stolen' the right to rule in Libya US diplomats were told in 2008, in a cable since released by WikiLeaks. The last 110 members of the LIFG were freed on 16 February, the day after the Libyan uprising began (the 1995 uprising not the 2011 uprising). One of those released, Abdulwahab Mohammed Kayed, is the brother of Abu Yahya Al Libi, one of al Qaida's top propagandists. Koumi fled Libya and is said to have ended up in Afghanistan working for Bin Laden. Captured in Pakistan, he was handed over to the US and sent to Guantánamo Bay in 2002. In 2009 he was sent back to Libya Also Search:Armed Islamic Group of Algeria Al Qaeda in the Maghreb (Libya) and the Safist Group for Preaching and Fighting: Libyan rebel commander admits his fighters have al-Qaeda links (searchable headline) In an interview with the Italian newspaper Il Sole 24 Ore, Mr al-Hasidi admitted that he had recruited "around 25" men from the Derna area in eastern Libya to fight against coalition troops in Iraq. Some of them, he said, are "today are on the front lines in Adjabiya". Mr al-Hasidi insisted his fighters "are patriots and good Muslims, not terrorists," but added that the "members of al-Qaeda are also good Muslims and are fighting against the invader.., there are evidence that Muslims Brotherhood is also involved in fighting in Libya"
 
Back
Top Bottom