Usafiri kwenda Loliondo kwa Babu

Nipohaitena

Member
Jan 6, 2011
22
0
Ndugu wanachama wa jf.

Napenda kuwajulisha kuhusu huduma ya usafiri kwenda Loliondo kwa Babu. gharama zetu ni nafuu sana. Gari lenye uwezo wa kubeba abiria 8 pamoja na Dereva. Gari zina air condition na zimeongezwa uimara kwa mazingira hivyo kukuhakikishia safari ya uhakika. safari inaweza chukua kati ya masaa 36 na siku 3. pia tunakuwa na mahema na vigodoro vya kulala iwapo itatokea hivyo. mawasiliano 0713833701. Usafiri unaanzia kituo cha Arusha na Bei Zetu ni 150,000/= kwa huduma zote.

Karibuni sana Wanaosumbuliwa na matatizo sugu mbalimbali.
 
Back
Top Bottom