Hii Sanamu inaheshimiwa sana na Jamii Fulani toka Kabila moja hapa Tanzania

duh inaonekana dunia yote iko Moshi, sio mchezo naona tu majina makubwa makubwa toka west hadi mashariki ya mbali.
Una uhakika tuna shida?Karibu kwetu Jamuhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Rombo,au tembelea U.K means Uru Kishumundu au nenda ukanda wa gaza (Palestina)Machame au Jews state of Kibosho au marangu U.S.A ndo ujue kama kweli tuna shida.
 
Halafu hatuna shida ya maji yani we unafungua tu bomba unakunywa na siyo lazima uchemshe.
 
ukweli ni wachaga wanaotokea uru ndiyo walio tupa vyakula na kukimbia. ilitokea kipindi sanamu ilipowekwa, na si sanamu hii ionekanayo sasa bali ile ya zamani. na kwa kipindi kile baada ya vita, yeyote angekutana nayo angeweweseka. sababu ilikuwa ni vita vilivyokwisha na uganda.
 
Usitumie neno 'ukweli' kwa maana ni joke kama monkeyjoke kwa watu weusi. usije iaminisha jamii na yenyewe ikarathi historia ya uongo.
 
Vita ya Uganda??
Watu wamezaliwa 1985 1989 1991 wewe unaongelea vita ya Uganda 1978???
Hata mimi mzee mzima sikuwa na miaka 18 nilikuwa Kinda aina fulani.
Ongelea JKT enzi za Uchaka RIALI

Ungeenda JKT au kuona vita ya Uganda ungejua kabeba nini.... Hayo ni matandiko na vitu vya dharula...safari ni safari
 
Una uhakika tuna shida?Karibu kwetu Jamuhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Rombo,au tembelea U.K means Uru Kishumundu au nenda ukanda wa gaza (Palestina)Machame au Jews state of Kibosho au marangu U.S.A ndo ujue kama kweli tuna shida.

kama hakuna shida na ubaguzi, kwa nini usiseme tu karibu uchagani ukimaanisha sehemu zote bali ume demarcate?
 
Yesu na Maria..... hifi ni kwedhi huyu mtu anayetudhinda sisi Wachaga wa Huru (Si Uru kama wengine walifyoandika) wamembebesha tena msigo mkubwa hifi mgongoni........
 
Kitu kipo keepleft cha kuelekea kristu mfalme, arusha, majengo na kCmC.. Ni pa ukweli hapo. Nendeni mkaone jiji linavyotunzwa. Kama hapo pana maua yanatunzwa daily.
 
Ujumbe wa maji na mwanajeshi na gobole, wapi na wapi? Halafu ujumbe wa kiingereza uchagani. Watanzania tuna ma sponge vichwani.

Back
Top Bottom