Hivi koti likikushinda linakudhuru vipi, linakuangusha? Misemo ya kibongo mingi kwangu hai make sense.
Anyhow, bomu la Mpendazoe halijawa na devastating, lasting impact kwa Nape, labda amejisikia aibu mbele ya kina Kikwete siku mbili tatu, lakini hakuna atakae dai, kwa mfano, ajiuzulu kwa...