The future: "mobile web" au "mobile app"!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The future: "mobile web" au "mobile app"!?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mdeesingano, May 24, 2011.

 1. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa kasi kubwa ni katika kuhamia mobile web na mobile app vitu ambavyo ni viwili tofauti ingawa all in all kazi yao ni moja tu sharing information!

  Je, kwa bongo trend yetu kwa sasa ipo wapi zaidi!? kipi bomba zaidi!? Kipi kipo implemented zaidi hapa bongo!?
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sijakukuelewa bado
   
 3. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sisi bado sana huko kaka. we are not at the mobile we are still sitting neither mobile nor motile ...........:biggrin1:
   
 4. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @yusufmzee... Ila kumbuka asilimia kubwa ya watu hapa JF wanawasiliana kwa mobile na posts nyingi zinachangiwa via mobile!
   
 5. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @mtazamaji... Nataka kujua kipi kipo more implemented ana kipi ni zaidi hapa bongo kati ya "mobile web" na "mobile app"
   
 6. Niko

  Niko Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe ulichokiongelea kwamba kina kasi kubwa ni kwa wapi???

  Maana unasema kuna trend ya kasi kubwa halafu unauliza trend yetu iko wapi!!

   
Loading...