Desecration of the Dead: A criminal offense in our law

Hawa ndugu zako walivyovamiana na kuua watu 17 wa familia tatu ndugu kule Buhare Musoma nayo ilikuwa order ya Kikwete? Au dini yenu inaruhusu watu kuuana kwa kuchinjana?
. Does this justify the criminal acts and killings of unarmed citizens? Crime is crime whether committed by ur father or sister.
 
Hivi polisi wanaweza kwenda kuchukua mwili wa marehemu bila agizo toka chombo halali kama Mahakama? Yaani mtu anaweza kwenda Polisi katika mgogoro wa maiti na Polisi wakasikiliza tu upande huo mmoja badala ya kuzuia mwili hadi mahakama iamue. Kama Polisi wangeenda pale jana na kuwatawanya kina Lissu na familia na mtu mwingine na kusema "miili haitoki mortuary hadi asubuhi na baada ya kupata maelekezo ya mahakama" hapo wangekuwa wameonesha hekima. Lakini kama Mag3 alivyosema labda hekima na utawala huu wa sasa haviendi pamoja.
 
CCM serikali utawala tusitafutiane ubaya. Mtoto wa mwenzako kumtreat kama mnyama nashindwa kuendelea maana ni uchungu sana. Ni kwa nini lakini kutufanya hivi kwenye nchi yetu???? Damu ya hawa watu itawaweka pabaya. Kumbukeni no one is above the law.
 
Peasant thanks for lyrics. Mwanakijiji you have been heard, sauti yako hata kama itaangukia katika sikio kiziwi la watawala haijapotea bure kwani inazidi kuchokoza fikra za wengi wetu. Yana mwisho haya.
 
Nina amini tukio la jana ni tukio kubwa sana yaweza kuwa Afrika nzima
sijwai kusikia serikali kwa kutumia dola kutoa maiti na kuziterekeza barabara mahali popote,
lakini pia ili ni tukio linaloitaji ujasiri mamlaka kubwa na kinga zidi ya kutowajibishwa aftermaths

kutoka na maelezo hayo hapo juu sidhani kama kuna mtu yeyote chini ya saidi mwema yaani mkuu
wa polisi anayeweza kutoa haya maagizo, huu ni uvunjaji wa sheria husio kifani kwa maana hiyo
nina hakika raisi wa nchi kwa namna moja mvutano pale tarime ilikuwa tishio kubwa kwa kiti chake magogoni na mbunge uhusika wa ccm hapo tarime
kwa maana hiyo si wazi walijua wanajua wanafanya kufulu maana hii ni zaidi ya uvunjaji sheria na utashi ule tanzania iliyokuwa ikijivunia yaani utu
mimi natupa shutuma magogoni, Raisi Kikwete hana huruma, hata hakika kimya tunajua wazi kapisa yeye ni raisi wa nchi na ana mamlaka yote kuzuia mauaji kitendo chake kutoamfuakua MWEMA toka jeshi la polisi lilipoanza mauaji ovyo ovyo hapa nchini ni uhusika tosha kabisa.

kama huu ushauri kauchukua kwa mseven huko uganda alikokwenda kumpongeza, basi wajiandae na ICC.

Iddi Amini aliwahi kufanya hivyo na Bokasa na Nguema na sasa CCM:A S 103:
 
CCM serikali utawala tusitafutiane ubaya. Mtoto wa mwenzako kumtreat kama mnyama nashindwa kuendelea maana ni uchungu sana. Ni kwa nini lakini kutufanya hivi kwenye nchi yetu???? Damu ya hawa watu itawaweka pabaya. Kumbukeni no one is above the law.

Walianza kwa kukuiteni kuwa mna "wivu wa kike" mkakaa kimya, wakaja na hata kama kula majani mtakula ili mradi ndege ya rais inunuliwe...ikanunuliwa, Dowans mkapiga kelele weeee wapi nayo wameilipa mifweza kibao, ukiangalia lugha za viongozi hawa toka siku za nyuma utaona kuwa zilikuwa zinatupatia picha kuwa wapi tunakoenda na ndio hapa tulipo hivi sasa, hebu jaribuni kumwangalia JK kwa makini kabisa usoni kwake na mtaona majibu mnayoyatafuta yakiwa yamebandikwa kwa herufi kubwa tu, au jaribu kumwangalia Membe na sakata la feza za Rada, ukimwangalia vizuri utabaini anachokiongelea si kile anachosema, na hata usemi waao wa kujivua gamba si kweli kwani uhalisia ni kwamba wanajiongezea magamba ili msiwabugudhi kama mnavyofanya sasa
 
Is it possible that more Tanzanians have died at the hand of the State up to this time than during Mkapa's twIo terms.?

Rejea hotuba ya KJ alipokuwa akiwahutubia wazee wa Darisalama pale Diamond Jubilee wakati Dar iliopokuwa ikijiandaa kupokea 'wageni' wa mkutano wa mambo ya 'uchumi' mlimani city huku Kina Mgaya na wafanyakazi wa umma wakijiandaa kugoma Siku ya ujio huo
 
Naililia nchi yangu Tanzania...Nchi niliyoijua toka utotoni mwangu...Niliyoiamini kwamba ni nchi yangu na maisha yangu yako mikononi mwake!

Hapa sijui wakija Wamarekani na washirikwa wao wa Nato kufanya kweli kama Libya tutalaumu?

DC
 
one day, and that day will come.......all this will be paid for, by those who are responsible.....and that day, truly, will come!!
 
In Tarime, which prophets have been killed?


The world isn't as rigid as you want it to be. Think outside the box and try to understand and relate the art work with your daily life.
 
WAKATI ndugu wa marehemu waliouawa siku saba zilizopita katika mgodi wa North Mara uliopo wilayani hapa wakitarajia kuzika miili ya ndugu zao kesho, jana
walimwomba Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Bw. Luis Moreno Ocampo anayeshughulikia makosa ya kuwashughulikia waliofanya mauaji hayo.
Mmoja wa wanandugu hao ambaye hakupenda jina lake litajwe alisema
itakuwa vema endapo Ocampo atawasaidia
Source: www.kwanzajamii.com


Read the full story »
 
Kwanza niwape pole wote waliofikwa na msiba huko Tarime.
Pili, tumesikia kwenye vyombo vya habari jinsi polisi na serikali walivyokuwa wakisisitiza juu ya heshima kwa maiti za ndugu waliouawa huko Tarime. Kwa upande wangu simaanishi kuwa maiti zisiheshimiwe, lakini nafikiri kutunza uhai wa binadamu ni bora kuliko kuua halafu ukajifanya kuwa na heshima kwa maiti.
 
Nimemuandikia Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora jana logging my complain ya kile kilichotokea Tarime. Natumaini na Watanzania wengine watafanya hivyo vile vile.
 
The world isn't as rigid as you want it to be. Think outside the box and try to understand and relate the art work with your daily life.
Right, right, and I'm trying to do just that, help me out here, to relate the art work that you presented with events on the ground. You folks invoked Bob Marley to the events in Tarime by stressing that we should not stand by and look while they kill our prophets...!

So, in Tarime, which prophets were killed?

 
Back
Top Bottom