TANZANIA: Historia ya Taifa Letu na Sheikh Yahya (RIP!)

Nadhani Marehemu alikuwa ana namna ya pekee ya kutoa "motivation" kwa watu. Binafsi sitasahau siku mojja niliangalia kipindi chake kwenye TV akitoa maelezo na "kumotivate" nini taifa starr ilitakiwa kufanya ili wawashinde Senegal teh teh the. baada ya kusikia akitaja taifa star ilibidi ningalie kipindi chote

Nadhani mchango wake japo kuanzia sasa ni histoiria upo kama mchango wa babu samunje wa Loliondo. Japo kuna tofauti but kuna positive and negative

BTN

jamani hii sio thread ya kisiasa tafuta jukwaa linalofaa.

- Socially unakubali kwamba alikuwa a motivational speaker, lakini unasema hii thread hapa sio pake kwamba hiyo motivational kwa wananchi haikuwa ni siasa kwa taifa, wakati tunaambiwa na wanaojua sana kwamba watawala wa Awamu ya kwanza hawakumtaka hapa nchini, unafikiri ni kwa nini mkuu?

William @ NYC, USA.

Sioni kipya kwenye hii thread ambacho hakingetosha kwenye thread ya awali ya msiba wa Sheikh Yahaya

- Socially unakubali kwamba alikuwa a motivational speaker, lakini unasema hii thread hapa sio pake kwamba hiyo motivational kwa wananchi haikuwa ni siasa kwa taifa, wakati tunaambiwa na wanaojua sana kwamba watawala wa Awamu ya kwanza hawakumtaka hapa nchini, unafikiri ni kwa nini mkuu?

William @ NYC, USA.

Mkuu naona mjadala huu hauna shida maana ile thread imejaa matusi na kukashifu imani za watu. Watu wanasahau Sheikh Yahya ni yeye na Uislam ni kitu kingine.
Kwenye mada sasa, kuna kitabu kiliwekwa hapa bahati mbaya sijakipata kinaitwa the Dark side of Nyerere. Sasa kama sheikh Yahya alikuwa tishio kwa serikali ile, mbona kwenye kile kitabu anatajwa alitumikwa kwenye ushushushu wa kwenda kumkamata yule bwana Msumbiji?

Wasifu Mfupi wa marehemu Sheikh Yahaya Hussein

Mdogo wa marehemu Sheikh Yahya Hussein bwana Abdallah Juma amesema kuwa kaka yake:

• Alizaliwa miaka 89 iliyopita katika mtaa wa Mkunguni Kipande, Kariakoo, Dar es Salaam.

• Kabila lake likiwa ni Mmanyema, mwenyeji wa Kigoma.

• Alisoma shule ya kati ya Uhuru, Dar es Salaam kabla ya kuhamishiwa Zanzibar kwa Sheikh Abdallah Saleh Farqy, alikojifunza Kurani na baadae kwenda nchini Misri na kujiunga na Chuo cha Al Adhar cha Cairo.

• Alikuwa mwalimu wa Kurani, kwa kuisoma na kuifundisha.

• Alianza kuupata umaarufu tangu alipokuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Waislamu wa Afrika Mashariki katika miaka ya 1950.

• Alianza masuala ya unajimu na utabiri wa nyota mwanzoni mwa miaka ya 1960.

Kuhusu kifo chake, mtoto wa marehemu aitwaye, Hussein Yahya, alisema baba yake:

• Alifariki dunia jana saa tano asubuhi, baada ya kusumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda wa miaka miwili.

• Alifariki dunia akiwa katika Hospitali ya Mount Ukombozi, Kinondoni ambapo alipelekwa jana asubuhi kwa matibabu baada ya hali yake kuwa mbaya.

• Mwili wa marehemu ulihifadhiwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo.

• Awali, dua ya kumwombea marehemu ilipangwa kufanyika katika Msikiti wa Tambaza majira saa 4 adhuhuri lakini taarifa iliyosomwa na TBC saa 7 mchana imesema dua hiyo itafanyika katika msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo.

• Maziko yake yatafanyika leo saa saba mchana katika makaburi ya Tambaza.

• Ameacha mjane, watoto 15 na wajukuu kadhaa.

• Hadi alipofariki jana alikuwa na ofisi mjini London, Uingereza, Nairobi, Kenya, Botswana, Swaziland na Tanzania, za kazi zake alizokuwa akifanya enzi za uhai wake.

source: Wavuti - Habari

Rest in Peace

Mkuu ni angalizo tu Alisoma chuo kinaitwa Al-Azhar Cairo

• Thanks
Reactions: EMT

Mkuu naona mjadala huu hauna shida maana ile thread imejaa matusi na kukashifu imani za watu. Watu wanasahau Sheikh Yahya ni yeye na Uislam ni kitu kingine.
Kwenye mada sasa, kuna kitabu kiliwekwa hapa bahati mbaya sijakipata kinaitwa the Dark side of Nyerere. Sasa kama sheikh Yahya alikuwa tishio kwa serikali ile, mbona kwenye kile kitabu anatajwa alitumikwa kwenye ushushushu wa kwenda kumkamata yule bwana Msumbiji?

- Ni uamuzi wa wananchi of where Seikh Yahaya fits na historia ya taifa letu, binafsi I see his works as a big influence on his times, wananchi wengi tulikuwa na tabia ya kusikilizia sana what he has to say about alot of ishus, from ngumi za kina Mohamed Ali na Frazier, nani atashinda Urais USA wakati JFK anagombea, sio siri kwamba hakuweza kutabiri on siasa zetu kwa sababu zilikuwa ni siasa ambazo ni fixed, kiongozi anagombea na kivuli sasa utatabiri vipi hapo!

- Lakini he was very inspirational na utabiri wa binafsi, wengi walimuamini and he must have been at odd na watawala hasa wa enzi hizo kwa sababu siasa za Ujamaa zinakataaa sana powerfull individuals katika society as he was, ambao hawamo serikalini, ninakumbuka kwenye Uwanja wa Saba Saba yaliyokuwa yakijaza watu yalikua mabanda matatu tu, Kwanza Banda la West Germany kwa sababu kulikuwa na mpira wa World Cup kwenye Videos, Pili lilikuwa banda la Scania kwa sababu Kamanyola na King Kiki walikuwepo pale, na Tatu lilikuwa banda la Sheikh Yahaya kwa sababu ya Video za Mangelepa, Super Mazembe na Lipua Lipua, ikiwa ni pamoja na kusoma viganja vya mikono.

- Infact kwenye banda lake kulikuwa na polisi posted pale all the times kwa sababu ya uwingi wa watu, sasa kama unaweza kuiona nafasi ya Yanga na Simba na maisha ya wananchi enzi hizo, ni lazima uione nafasi ya Sheikh Yahaya, kwa wale wenye agenda tofauti na reailities za enzi hizo ndio wanaoleta habari za udini ambazo to sioni nafasi yake kabisa katika kumhukumu Marehemu na nafasi yake kwa taifa letu!

William @ NYC, USA.

Unaweza mchukia mtu but huwezi deny historia na mchango wa mtu huyo

hata osama anachukiwa na wamarekani but hakuna

mmarekani anayebisha kuwa osama changed the world forever.........

Peleka kwenye thread mama, hii thread haina chochote cha ziada zaidi ya huyu bwana @NYC,USA kujikweza tu!

Ni kweli, huku ni kushabikia upuuzi na elimu zetu. Yahya hakuwa na lolote jema kwa jamii inayotaka ustaarabu.
Huyu alikuwa mchawi tu.

poleni sana ..... mmepoteza muda mwingi kumjadili mchawi na ufugaji wa majini...... amepoteza watu wengi... wamejenga umwoga kwa watanzania na imani za kijini.... hope God will punish him for this....!!

- Ni uamuzi wa wananchi of where Seikh Yahaya fits na historia ya taifa letu, binafsi I see his works as a big influence on his times, wananchi wengi tulikuwa na tabia ya kusikilizia sana what he has to say about alot of ishus, from ngumi za kina Mohamed Ali na Frazier, nani atashinda Urais USA wakati JFK anagombea, sio siri kwamba hakuweza kutabiri on siasa zetu kwa sababu zilikuwa ni siasa ambazo ni fixed, kiongozi anagombea na kivuli sasa utatabiri vipi hapo!

- Lakini he was very inspirational na utabiri wa binafsi, wengi walimuamini and he must have been at odd na watawala hasa wa enzi hizo kwa sababu siasa za Ujamaa zinakataaa sana powerfull individuals katika society as he was, ambao hawamo serikalini, ninakumbuka kwenye Uwanja wa Saba Saba yaliyokuwa yakijaza watu yalikua mabanda matatu tu, Kwanza Banda la West Germany kwa sababu kulikuwa na mpira wa World Cup kwenye Videos, Pili lilikuwa banda la Scania kwa sababu Kamanyola na King Kiki walikuwepo pale, na Tatu lilikuwa banda la Sheikh Yahaya kwa sababu ya Video za Mangelepa, Super Mazembe na Lipua Lipua, ikiwa ni pamoja na kusoma viganja vya mikono.

- Infact kwenye banda lake kulikuwa na polisi posted pale all the times kwa sababu ya uwingi wa watu, sasa kama unaweza kuiona nafasi ya Yanga na Simba na maisha ya wananchi enzi hizo, ni lazima uione nafasi ya Sheikh Yahaya, kwa wale wenye agenda tofauti na reailities za enzi hizo ndio wanaoleta habari za udini ambazo to sioni nafasi yake kabisa katika kumhukumu Marehemu na nafasi yake kwa taifa letu!

William @ NYC, USA.

Mazee mpaka debates za kina JFK ulizishuhudia??Babu kumbe kikongwe weye!

- Socially unakubali kwamba alikuwa a motivational speaker, lakini unasema hii thread hapa sio pake kwamba hiyo motivational kwa wananchi haikuwa ni siasa kwa taifa, wakati tunaambiwa na wanaojua sana kwamba watawala wa Awamu ya kwanza hawakumtaka hapa nchini, unafikiri ni kwa nini mkuu?

William @ NYC, USA.

Mkuu motivation zake kwa machache nayojua ni ya kuwapatia watu pete za bahati, nyota utabiri. teh teh teh kama ideas zake ziligusa siasa ni mara chache lakini mada na hoja zake kuu hazikuwai kuwa siasa. Inawezekan wakati wa harati zake za kisiasa nilikuwa kijijini

Nimetolea mfano wa nilivyomsikia na kumuona kwenye TV akitoa maelezo taifa star ilitakiwa kufanya nn kuwashinda Senegal.

ebu nifafanulie hapo nilipo bold kwa nini Kwenye Awamau ya kwanza hakutakiwa ?

Wacha uwongo, Kama kawaida yako unajaribu kuhusisha kuishi kwa Sheikh Yahya mjini Nairobi na awamu ya kwanza, pole sana kwani hujui kitu kuhusu historia ya huyo mchawi na tapeli. Sheikh Yahya alifungwa Kenya kwa vitendo vya uchawi, utapeli na kuhusika katika wizi akiwa Nairobi na alipoachiwa alipigwa marufuku asikanyage tena Kenya. Nchini Tanzania kuna watu kweli walitegema kuutumia unajimu wake na udanganyika wa Watanzania kupata madaraka lakini hawakufanikiwa, pole yao.

Na wengine ni mlinzi wao wa siri! Mh! Cjui sasa itakaaje!

Unaweza mchukia mtu but huwezi deny historia na mchango wa mtu huyo

hata osama anachukiwa na wamarekani but hakuna

mmarekani anayebisha kuwa osama changed the world forever.........

- Mkuu not only that he changed the World tu, ni lazima awemo katika historia kuhusu mchango wake katika maisha ya wakati huu, ameshirki sana ku-shape Dunia hasa mentality, Osama amesababisha mataifa kutumia hela nyingi sana kwenye nyanja ya ulizni na usalama na ku-create ajira nyingi sana kwa wananchi duniani, ingawa pia ameleta kero sana kwa wananchi wanyonge hasa za kupekuliwa kupita kipimo kwenye viwanja vya ndege na popote pale kwenye mkusanyiko wa watu.

- Strong point mkuu, kumchukia mtu ni sawa lakini in the end ukubali kwamba kinachokufanya umcuhukie ndiio was his strength na ndio mchango wake kwa society, ambao lazima ukumbukwe kwa kuwekwa kwenye vitabu vya historia!, Why hate Sheikh Yahaya? Kwani alikuwa anamlazimisha mtu kusikiliza utabiri wake? I mean hili taifa ndio maana tupo nyuma sana, sasa wewe ukiweza kufuatilia all the money he made in Kenya na kodi aliyoilipa serikali ya kule, ndio utaelewa kwa nini sisi tumebaki nyuma sana kimaendeleo, sisi kuna waliomuona kwamba ni mchawi lakini wenzetu walimuangalia kwenye level za uchumi!

William @ NYC, USA.

- Ni uamuzi wa wananchi of where Seikh Yahaya fits na historia ya taifa letu, binafsi I see his works as a big influence on his times, wananchi wengi tulikuwa na tabia ya kusikilizia sana what he has to say about alot of ishus, from ngumi za kina Mohamed Ali na Frazier, nani atashinda Urais USA wakati JFK anagombea, sio siri kwamba hakuweza kutabiri on siasa zetu kwa sababu zilikuwa ni siasa ambazo ni fixed, kiongozi anagombea na kivuli sasa utatabiri vipi hapo!

- Lakini he was very inspirational na utabiri wa binafsi, wengi walimuamini and he must have been at odd na watawala hasa wa enzi hizo kwa sababu siasa za Ujamaa zinakataaa sana powerfull individuals katika society as he was, ambao hawamo serikalini, ninakumbuka kwenye Uwanja wa Saba Saba yaliyokuwa yakijaza watu yalikua mabanda matatu tu, Kwanza Banda la West Germany kwa sababu kulikuwa na mpira wa World Cup kwenye Videos, Pili lilikuwa banda la Scania kwa sababu Kamanyola na King Kiki walikuwepo pale, na Tatu lilikuwa banda la Sheikh Yahaya kwa sababu ya Video za Mangelepa, Super Mazembe na Lipua Lipua, ikiwa ni pamoja na kusoma viganja vya mikono.

- Infact kwenye banda lake kulikuwa na polisi posted pale all the times kwa sababu ya uwingi wa watu, sasa kama unaweza kuiona nafasi ya Yanga na Simba na maisha ya wananchi enzi hizo, ni lazima uione nafasi ya Sheikh Yahaya, kwa wale wenye agenda tofauti na reailities za enzi hizo ndio wanaoleta habari za udini ambazo to sioni nafasi yake kabisa katika kumhukumu Marehemu na nafasi yake kwa taifa letu!

William @ NYC, USA.

Kuna kipengele hapo naona bado hujakisungumzia. Inasemekana naye alitumika na mwalimu miaka hiyo wakati chama ndio kinashika hatamu na kuna kitabu kinamtaja. Sasa hapo inamaana walifall out au ndio walikuwa wamerejeana au na au....... Km aliweza kutumika na mwalimu kwanini useme hakuhitajika wakati wa serikali ile? Kitabu kile kinadanganya?

Mazee mpaka debates za kina JFK ulizishuhudia??Babu kumbe kikongwe weye!

- Well, sikuzishudia kwa sababu bongo hatukuwa na TV kuwa nayo ilikuwa ni kuhujumu uchumi, niliskia tu ma-redioni, unajua enzi zetu za utoto tulikuwa na interest za habari za kimataifa, ninamshukuru sana Mwalimu na ile elimu yake ambayo ilikuwa inatupa sana mwamko wa kutaka kujua habari za kimataifa, hata hivyo ninakumbuka kunywa bulga ya JFK nikiwa Vidudu shuleni, na pia kila mwezi mara moja tulikuwa tunapewa kigunia cha uji wa bulga na kopo kubwa la mafuta ya kupikia yenye alama za bendera za USA na mikono imeshikana hivi na jina la JFK.

William @ NYC, USA.

Kuna kipengele hapo naona bado hujakisungumzia. Inasemekana naye alitumika na mwalimu miaka hiyo wakati chama ndio kinashika hatamu na kuna kitabu kinamtaja. Sasa hapo inamaana walifall out au ndio walikuwa wamerejeana au na au....... Km aliweza kutumika na mwalimu kwanini useme hakuhitajika wakati wa serikali ile? Kitabu kile kinadanganya?

- Lakini at the same token inasemekana alifukuzwa nchini na awamu ya kwanza, sasa nani ni mkweli? Maaana mimi maisha yangu yote utottoni nakumbuka alikua akiiishi Kenya alirudi pale tu siasa zetu zilipobadlika, sasa mkuu unafikiri ni kwa nini?

William @ NYC, USA.

poleni sana ..... mmepoteza muda mwingi kumjadili mchawi na ufugaji wa majini...... amepoteza watu wengi... wamejenga umwoga kwa watanzania na imani za kijini.... hope God will punish him for this....!!

bila shaka! Aende zake

- mkuu not only that he changed the world tu, ni lazima awemo katika historia kuhusu mchango wake katika maisha ya wakati huu, ameshirki sana ku-shape dunia hasa mentality, osama amesababisha mataifa kutumia hela nyingi sana kwenye nyanja ya ulizni na usalama na ku-create ajira nyingi sana kwa wananchi duniani, ingawa pia ameleta kero sana kwa wananchi wanyonge hasa za kupekuliwa kupita kipimo kwenye viwanja vya ndege na popote pale kwenye mkusanyiko wa watu.

- strong point mkuu, kumchukia mtu ni sawa lakini in the end ukubali kwamba kinachokufanya umcuhukie ndiio was his strength na ndio mchango wake kwa society, ambao lazima ukumbukwe kwa kuwekwa kwenye vitabu vya historia!, why hate sheikh yahaya? Kwani alikuwa anamlazimisha mtu kusikiliza utabiri wake? I mean hili taifa ndio maana tupo nyuma sana, sasa wewe ukiweza kufuatilia all the money he made in kenya na kodi aliyoilipa serikali ya kule, ndio utaelewa kwa nini sisi tumebaki nyuma sana kimaendeleo, sisi kuna waliomuona kwamba ni mchawi lakini wenzetu walimuangalia kwenye level za uchumi!

william @ nyc, usa.

mkuu yahya ali influence mambo mengi mno
sio tu uchumi

mfano industry ya vitabu kama vya tafsiri za ndoto
unaweza sema yeye ndo kaanzisha bongo.....

I mean influnce kuanzia utabiri wa mipira
mpaka uandishi wa vitabu.....

Na hata utabiri wa kisiasa yeye ndo probably the first
kufanya......

Na kuanzisha college ya utabiri na vipindi vya tv...
Kuwaelezea freemasons na kdhalika......

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom