Ni kweli ulichosema, ubora ama kuipenda simu fulani ni kama unapoamua kununua gari. Kila mtu ana sababu zake za kuipenda simu ya aina fulani. Mfano mimi binafsi when it comes to smart phones nimetumia blackberries, Samsung Galaxy II, Evo, Sony errickson, Motorola Droid na Nokia lakini naizimia kichizi iPhone4. Huniambii chochote kuhusu iPhone4. But that doesn't mean kila mtu aipende iPhone4.
Ila swali moja ambalo watu wengi esp. huku US wanajiuliza: Ni kwa nini Apple wanaintroduce technology mpya then others wao wanaishia ku-copy? Kwa nini wao nao wasije na new product badala ya kungojea Steve Jobs aje na something new then wao ndio waige?
All in all iPhone ime-revolutionize the smart phone technology.