Umewahi kutembela balozi za Tanzania nje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umewahi kutembela balozi za Tanzania nje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, May 22, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Kuna swala najiuliza kila siku sipati majibu, nani yuko responsible na kuajiri wafanyakazi katika balozi zetu nje ya nchi? Nimetembelea nchi kadhaa na kwa bahati niliweza kufika katika ofisi za balozi zetu, lakini kiboko ilikuwa ya last week Pretoria kwenye ubalozi wetu.

  Wafanyakazi pale walitushangaza mno kwa jinsi wanavyoendesha kazi zao, wengine hawajui kabisa kuongea kingereza, halafu tulivyopokelewa ni kama tupo Bongo, labda wanakosea wanafikiri wako Tanzania.

  Mimi sikuamini, hivi ni nani haswa anawatuma hawa watu wakafanye kazi huko? Ni wajomba zao au ni baba zao? Je kuna wahitimu wangapi wanamaliza masomo na wanakosa hizo nafasi?

  Hivi kuna haja ya kuangalia upya huo utaratibu?
   
 2. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Rosemarie, asante kwa observation hiyo. Ni kweli unachokisema na wala hakina ubishi. Ata miongoni mwa Mabalozi wenyewe na pia katika Baraza letu la Mawaziri kuna baadhi ya watu hawawezi kujieleza kwa kiingereza sanifu. Visingizio mara zote vimekuwa....lugha yetu ni Kiswahili.

  Nisaidie kujua japo kwa cheo au jinsi ni nani ulikutana nae ktk Ubalozi wetu Pretoria? Kwa bahati ninawafahamu baadhi yao, ninaweza nikakudadavulia alivyoingia pale foreign.....
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Wanaboa sana!du
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Kuna dada mmoja kama mchaga vile yuko pale reception ukipanda tu ngazi anaboa mno sijawahi ona,yaani akishakuona wewe ni mtanzania sura yake inabadilika,halafu kuna mzee mmoja alituudhi sana alipokuwa anaongea na sisi walitokea wazungu halafu akaachana na sisi akaenda kuongea na wazungu,HALAFU TULIKUTA WATU PALE WASUBIRI PASPORT ZAO KWA MANUNG"UNIKO,.mijitu ya ovyoo sana
   
 5. m

  mwidau New Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa utaratibu kazi za kibalozi zina utaratibu wa kipekee ktk kuajiri si kama ajira nyingine kwani its a noble job, na itarajiwa mtu anaepata kazi hizo atakua ana sifa stahili kwani linahusisha nchi zaidi ya moja hivyo unaweza kupeleka mtu mjinga akaharibu mahusiano ya nchi kiuchumi,kisiasa.... Kama hivyo nchi yetu itaendelea kudharauliwa daima, sisi na elimu zetu za foreign policy and diplomacy hatuma ajira, wanapeana tu ajira bila ujuzi. Tutakapoamua kuingia msituni ndio tutaheshimiana....
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mimi naomba kama ccm itaweza kutolewa madarakani liwe jambo la kwanza kumulika balozi zetu nani yuko pale anafanya nini na uwezo wake ukoje,nafikiri ni muhimu
   
 7. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Kama kutembelea Ubalozi ni sehemu ya itinerary yako kila unapokuwa nje ya nchi, then you may have a problem. Ubalozi unakwenda kwa appointment siyo kwenda kuvinjari sababu tu wewe ni Mtanzania. Watu kama wewe mnaboa pia. Jaribu kutembelea tourist attractions badala ya Ubalozi.
   
 8. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kujua Kiingereza siyo kigezo cha kufanyakazi ubalozini. Wapo wanaojua kifaransa vizuri, wapo wanaojua kichina vizuri, wapo wanaojua kijapan vizuri.... Umeenda South Africa... ebu jaribu kuongea nao Kizuru na siyo kiingereza uone, Kama umeenda ufarasa ebu ongea nao kifarasa uone.....
  Post nyingine ni za kipuuzi sana. Hivi uzuri wa Kiingereza unaupima vipi? Marekani yenyewe wanapishana matamshi, Uingereza ndo usiseme kabisa cha north na south ni tofauti,,,,.... sasa wewe hicho kizuri umekitoa wapi mswahili wa kariakoo weweeee!!!!
   
 9. n

  nyundo Senior Member

  #9
  May 22, 2011
  Joined: Apr 13, 2007
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni ushamba jamani, kutoweza kujieleza kwa ufasaha kwa lugha ya kingereza ni utokujua kazi? Na Angela Merckel wa ujeruman naye basi hajui kazi! Wtz tunapenda sana kufanya kaz ya kulaum kuliko kazi zetu
   
 10. n

  nyundo Senior Member

  #10
  May 22, 2011
  Joined: Apr 13, 2007
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni ushamba jamani, kutoweza kujieleza kwa ufasaha kwa lugha ya kingereza ni utokujua kazi? Na Angela Merckel wa ujeruman naye basi hajui kazi! Wtz tunapenda sana kufanya kaz ya kulaum kuliko kazi zetu
   
 11. Niko

  Niko Member

  #11
  May 22, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu yetu ameharibu hoja ya tatizo hili kwa kutanguliza issue ya Kiingereza.

  Kuna uozo mwingi maofisini, kutojua Kiingereza sio issue sana, tunaweza kuelewana Kiswahili.


  Uozo wa ki professional tunaouona maofisini Tanzania ndio huo huo unakuwa exported kwenye missions zetu nje, sasa kwa nini tushangae hayo ya ubalozini wakati nchini tunakutana na hayo nayo kila siku?
   
 12. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uswahili unatusumbua
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe ni mtanzania?, hivi ndivyo ulivyolelewa kuwa mgeni kama hana appointment asipewe japo "soft tongue?!", i beg to differ. Kama kweli wanafanya hivi basi hawajafundwa hawa.
   
 14. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  .................. then we should shut up our big mouths when the Kenyans come to town to take the high profile well-paying jobs because of their mastery of the English language............whether we like or not, in this era of global economy the use of English language is unavoidable. Even the Chinese have realized the importance of the English language.
  How can one work at one of our high comissions and struggles with English? How silly is that? How can the embassy staff be able to communicate with other parties like business people, politicians etc if they struggle with the English language? No wonder our embassies are full of maduduz!!
   
 15. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  .................. then we should shut up our big mouths when the Kenyans come to town to take the high profile well-paying jobs because of their mastery of the English language............whether we like or not, in this era of global economy the use of English language is unavoidable. Even the Chinese have realized the importance of the English language.
  How can one work at one of our high comissions and struggles with English? How silly is that? How can the embassy staff be able to communicate with other parties like business people, politicians etc if they struggle with the English language? No wonder our embassies are full of maduduz!!
   
 16. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hamtaki kujua kiingereza??kazi atafanya nani??wakenya au??
   
 17. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Njoo kwa Obama ndio uachoka kabisa. Yaani ni uswahilini huwezi amini. Halafu majina ni yele yele yanajirudia, yaani baba au kaka alikuwa raisi au waziri. LOLZ.
   
 18. Tumaini Jipya

  Tumaini Jipya JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />  Aaaaaaaaah,Kaka Kiingereza kizuri kipi,kupishana katika Matamshi na Sarufi hakumaanisha hakuna Kiingereza sahihi!! Kwa sbb hata hao unaosema wametofautiana sio kivile!! Ujomba na Ushangazi ndiyo umetawala katika ajira nyingi ndani na nje!!
   
 19. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 280
  Kwani kazi hazitafanyika mpaka tujue kiingereza?? kinachotakiwa ni viongozi wetu kusisitizia utaifa tu na kuweza kulinda maslahi ya raia wake kwenye ajira. Kuna nchi kibao hasa Nordic countries zinatumia lugha zao katika shughuli zote ikiwemo ajira na hulinda maslahi ya raia wao dhidi ya wageni. Hata kama ni kampuni ya kigeni imewekeza lugha inayoongelewa ni ya nchi husika. Na kama immigrants wakitaka kuajiriwa nchini kwao hata kwa position za maana husisitiza wajifunze lugha zao na si kiingereza. Hivyo ndugu hapa ni utaifa tu na sera za nchi yetu kuhusiana na namna inavyoweza kulinda masilahi ya wazawa dhidi ya immigrants.
   
 20. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  "soft tongue" at who's dime? Au ndiyo ile "pesa zetu za Walipa Kodi"? Hizi ni fikra za kishamba zilizopitwa na wakati. Mtoa maada naye ni mshamba fulani tu. Kutembelea tembelea Balozi bila sababu za msingi wakati watu wana kazi zao, halafu baadaye unakuja kuwakandia humu.
   
Loading...