Haya ndio mambo ya Guinness wakuu!!!

Haya ndio mambo ya Guinness wakuu!!!

Jakaya Mrisho Kikwete ni Muislamu (going by the name), na Waislamu "safi - siyo majina" hawatumii "vileo" - right?

Nguzo moja muhimu ya uislam ni kwenda HIJJA; viongozi wengi waislam safi wametimiza nguzo hii lakini kama sijakosea Jakaya bado hajajaliwa!! Could his close association to late Yahya Hussein got to do with his not performing the HAJJ rite? Inaaminiwa kuwa kama ukiwa na madudu mengi katika maisha yako inawezekana ukienda usirudi!!
 
Mie kwa kweli mie UMENISABABISHIA KIU.........Still at work but I have to get at least 2 bottles nikitoka kwa BEPARI aka MWAJIRI
 
Je waislamu kwani wanashiriki hii kitu?
Sijui kama ni swala la kidini, au la kiafya, au mazoea au kakatazwa na mama yake.

Na sitaki kujua kinachomsukuma kuwa mfano bora dhidi ya viongozi walevi, ila ukweli unabaki kwamba katika anasa za mwili, Kikwete amekuwa moral compass thabiti kwa viongozi anaowaongoza;
huwezi kumkuta Kikwete na kombe la pombe hadharani.

obama6.jpg

hii kitu safi jamani sijui nani aligundua. nilivyoona hapa ikabidi nitafute, ila hiyo glass sijaipata

save water drink beer! cheerrrrrrrrrrrrrrrrrrrssssssssss
 
pombe taaamu hiyooo, kaka obama waambie wakupe kreti kabisa uondoke nalo.........
 
Sijui kama ni swala la kidini, au la kiafya, au mazoea au kakatazwa na mama yake.

Na sitaki kujua kinachomsukuma kuwa mfano bora dhidi ya viongozi walevi, ila ukweli unabaki kwamba katika anasa za mwili, Kikwete amekuwa moral compass thabiti kwa viongozi anaowaongoza;
huwezi kumkuta Kikwete na kombe la pombe hadharani.

obama6.jpg

Kumbe issue hapa ni hadhira? Nimependa sana ulivyoonesha ni jinsi gani presidaa wako ni mnafiki na haishi yeye kama yeye kwamba anafanya maovu mengi lakini ni kwa kificho hiyo ni hypocrite kitu ambacho Obama amekikataa. Kunywa pombe hadharani ni makosa lakini kuwa na vimada wasio na idadi si kosa, huu ni upupu tu na si vinginevyo.
 
Sijui kama ni swala la kidini, au la kiafya, au mazoea au kakatazwa na mama yake.

Na sitaki kujua kinachomsukuma kuwa mfano bora dhidi ya viongozi walevi, ila ukweli unabaki kwamba katika anasa za mwili, Kikwete amekuwa moral compass thabiti kwa viongozi anaowaongoza;
huwezi kumkuta Kikwete na kombe la pombe hadharani.

obama6.jpg

hiyo ni real au mambo ya graphic
 
Mkewe anaonesha hanywi pombe ona alivyokaushia mdomoni,raha ingeongezeka kama kungekuwa na mbuzi mkat............................. ingekuwa poa zaidi.
 
Mwone Obama katika avatar alipokuwa mdogo anaonesha alikuwa chakaramu toka mdogo.na hivyo ndiyo inavyotakiwa kumtunza mwanao ili aje kuwa kiongozi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom