Jamani ebu acheni kumuonea kijana wa watu,Nape Moses N nimesoma naye na tukamiliza wote kidato cha nne 1997 shule ya sekondari Nsumba japo ni kweli kuwa alihamia sijui alikotokea na alikuwa mlokole sana, kiongozi wetu wa darasa la kidato cha nne C. Matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa mabaya...