Jamani!natafuta kazi yoyote. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani!natafuta kazi yoyote.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kachelenga, Sep 11, 2012.

 1. K

  Kachelenga Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NATAFUTA KAZI YOYOTE ILE,pia naweza kupatikana kwa email hii kachelenga@ovi.com
   
 2. N

  Nhundu Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Una sifa gani za kitaaluma?
   
 3. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Weka sifa zako mkuu! Au una fani gani?
   
 4. a

  amigooo Senior Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 5. m

  makeda JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mh kazi yoyote ndugu!kuwa makini na usemi mana kuna watu wanatafuta mashoga wa kuwafanyisha ngono huku wakirecordiwa,na wanalipwa hivo naomba uwe makini kwa kuweka mipaka.
  Kila lakheri.
   
Loading...