Chadema someni hapa, sio mnapapatika na kukurupuka tu...

Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

Yaani watu wanaoandika post kama hizi ndio tegemeo kubwa sana la CCM !!
 
Sekondari za Kata zimeongeza idadi ya watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni yao. Kama mitihani ya darasa la saba mwaka huu ingesimamiwa na walimu wa sekondari kama tulivyotangaziwa awali, hakika watu kama Putin msingeingia sekondari za Kata. Hata hivyo kuanzia mwaka huu mtihani wa kidato cha pili kurudia mara moja ukishindwa tena nyumbani watu aina ya Putin watakuwa wanaishia kidato cha pili.

Futa povu.
Hina lolote la maana uliloandika
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

Ritz, Rejao, Mafilili, Zomba and five others LIKES this post !!
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

Liwalo na Liwe !!, Kudadadeki !!

(Hizi kauli mbiu mbili ni kwa hisani ya Pinda na Lusinde).
 
nchi hii tanzania tunahitaji amani na utulivu.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka ahame nchi.
Zipo nchi zina maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka ahame nasisitiza ahamee.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

hahaaaa ama kweli ****** ni ya kukalia sio ya kufikiria. Jikalie zako maendeleo yatakufuata mwaya.
 
unataka wenzio wahame weye kwa nini usihame kwanza??

Mie niende wapi?
Wakati najitandikia ugali wangu na wanangu maisha yanaenda saaafi, amani ipo mpaka mioyoni.
Nyie ambao kutwa kucha ni kukwaruzana na polisi ndio mnatakiwa kuhama mtuachie utulivu wetu ambao CCM wamefanikiwa kwa asilimia mia moja kuudumisha.
 
mtu aliyelala ndani akajifungia milango na madirisha huamini bado ni usiku ilhali nje kumekucha,,,,,
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

Ni kwa vile ban tu huwa zinaumiza sana. Vinginevyo nina "neno" zito na baya sana kwako tumboni mwangu (si moyoni kwani likikaa huko litaniua mwenyewe).

Bahati yako! $%&#$@!!
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

Spot the difference in these photos, if you cant, write one word that describe the photos.

ImageUploadedByJamiiForums1348307506.959453.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1348307598.759137.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1348307630.547563.jpg
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

ukiwa unaujauzito wa miezi tisa ya mawazo usipende kutembea tembea bora ukae na stress zako za kujifungua mimba hiyo mawazo yanapotunga mimba matokeo yake ni kuandika threa kama hizi
 
ccm iko tangu 77, chadema imefumuka miakaya 90 mwishoni hivyo haiwezi kuninyima usingizi, lakini kwenye ukweli nawaambia.
Hakuna jipya ulilolisema hapa!!!! Unashangilia kuwa wako tangu 77? Age is nothing but a number hasa kama hujaacha any positive impact. Ni suala la muda tu, kama mfumo wa vyama vingi ungeruhusiwa mwanzoni mwa miaka ya 70, bila shaka 77 isingezalia thithimwewe. Mtajibeba!!!!!
 
Ndo Muahame sasa Mtuache tule Ugali wetu....... Maendele Mnayata Kwa Kipi nyinyi mlichoifanyia Nchi hii,Kila kukicha nyi ni kukosoa tuu kwa Uzuri upi mliokuwa nao? HAMENI tuacheni.
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

Bibie Putin, ..

1. Hivi hoja hii nayo imekaa kisiasa?

2. Hebu nikumbushe tena hao CHADEMA wamekurupuka
wapi?

3. Unajua maendeleo ndio nini, au unadhani ni
"kuongezeka kwa magari(foleni) Dar-es salaam?

am sorry to say this, this is the most idiotic thread i have ever read!..atleast the most idiotic thread of the week...****.
 
Hii thread nadhani imewekwa ili ipeleke watu jela la jf.

Mkuu Katavi! Hili toto linalojiita Putini ***nge sana huenda wanali**** back. Kama ningekuwa na bunduki hili toto ningelitafuta live, kwani jela ya JF nimetoka hivi karibuni na sio pazuri kwani unakosa uhuru wa kuchangia. Any way Mods kama mnawatuma hawa watu ili mtupunguze kijanja poa tu! Matopic ya hivi muwe mnayachinjia baharini.
 
Hili jamaa linaitwa kula kulala! Useless great thinker! Eti kujilia ugali bila kujali maendeleo yanakujaje? Tumb..f kabisa!

Lakini maendeleo yapi mnayozungumzia hasa tukiiangalia CDM yenyewe? Nataka niamini kuwa hata washabiki wa CDM wenyewe nina wasiwasi kama wana agenda ya maendeleo kama si agenda ya fujo tuuuuuuuuuuuuuu!!!!!! ni vipi tutaendesha nchi pale CDM itakapochukua huku kukiwa na viongozi ambao stratejia yao ni uzushi, ugomvi, lawama na kejeli kwa kila kitu. lakini uwaulizapo tu mna mkakati gani hawana jibu. tutafikaa???????????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom