Dk. Bana awajia juu CHADEMA/CUF kuhusu M4C & V4C

hivi kuna watu wanajivunia kufundishwa na huyu mpumbavu au ndiyo ukiwa ccm prof hana tofauti na wa la saba..kikwete alisema chadema ni chama cha msimu leo bana anatulazimisha tukae kimya ilitukamilishe usimi wa dr dr dr dr kikwete Bana akae kimya angalie siasa ninavyotendewa haki..

Nilitaka kucomment ila umeshamaliza mkuu,pokea LIKE ya maneno,natumia mchina.
 
Aende zake, anajipendekeza tu, sijui za REDET zimemwishia, wengine walivyokuja na VUA GAMBA alisema huu ni wakati wa chama kujisafisha na kujijenga leo anasema hawa wanahatarisha amani ya nchi, hamana kitu hapo.
 
CCM na serikali yake imekabwa koo, sasa inatumia vibaraka wake kuomba huruma. Aseme tu kama kuna sheria imevunjwa, vinginevyo akae kimya.

Ila CUF nao wamezidi kuiga kuliko hata mume wao CCM, walianza wote kuiga matumizi ya Helkopta, sasa leo wanaiga kuchangisha pesa(harambe), sasa mpaka V4C .

Mkuu wote Bibi (CUF) na bwana (CCM) wanacheza ngoma ya CHADEMA. CHADEMA noma, na M4C ndio usiseme kabisa!!. CUF na CCM hakuna wabunifu ndio maana wana bakia kudandia dandia gari (CHADEMA) kwa mbele!!
 
images


Ndiye huyu hapa, picha yake haitofautiani sana na maneno yake!

ana domo kubwa kuliko kichwa ,akili hiko mdomoni .kwa hiyo lazima atakuwa anafikiri kwa kutumia tumbo
 
Mtu mzma hovyo.
ni ngumu kuamini kama ni mhadhiri udsm, ni aibu kwake kutoa kauli za kijinga kila siku si hii tu, binafsi sijawahi msikia akiongea kitu ukahisi alieongea ni msomi ni kama vile anaflash maneno yake yanatirika kama maji taka ili kwa nje aonekane msafi sasa huko ndani?!
 
Kuna siku hapa uliletwa thread kuwa Chadema ni chama cha wasiosoma, mimi nilijibu thread ile kwa kusema kuwa siku zote mapinduzi ya kweli huletwa na hao hao wasiosoma na nikatowa mfano wa wale wazee wa Dar waliomsaidia Nyerere katika harakatio za uhuru, na nikasema pia wasomi wa Tanzania wengi wao ni wachumia tumbo tu na nikatoa mfano wa huyu Dr. Benson Bana na leo sasa yametimia kwa kauli yake hii!
 
jamaa c ni mshauri wa kikwete ktk masuala ya siasa? SASA UNATAKA AONGEE NINI?

huwa anajipendekeza sana kwa CCM, anamsaidia NAPE kwenye uenezi,

si nape ameona kwenye ccm ndo mtetezi pekee, wanachama wenzake wanamchora tu so naye ameamua kukaa kimyaa, liwalo na liwe.
 
So M4C inazuia Magamba kutekeleza ahadi hewa zake?????????????????????????
 
Ma-Dr. vijana kama kina Kitila Mkumbo, wahadhiri kama kina Bashiru ukiwasikiliza utasema wamemtangulia maarifa huyu bwana Dr. Bana. Ninashangaa sana. Ni nadra kukuta Mhadhiri anayetakiwa kuwa chachu ya maarifa, mabadiliko na kukemea uozo wa nchi anafagilia sera mbovu za kinyonyaji na wizi na danadana za CCM. Je, tutafika? Na huyu kwa mfumo wa siasa zilizotawala pale UDSM waweza kuta baada ya miaka 3 akawa DEAN wa CASS, lipi jipya watapata watoto wet la ukombozi wa kifikra? Kazi ipo, Dr. Bana matamshi yako yanawatia kichefu chefu wasomi wenzio hapa UDSM, kama unakuwa huna la kuongea basi acha, maana ukada wako na taaluma yako vinakufanya usipambanue akili kadri taaluma na ueledi wako unavyostahili. Kama ni kutetea pesa za REDET, wafadhili wameshastuka, soon zitakata. Be a scholar, fuata nyayo za CHACHAGE (be the icon)may be your name will be immortal.
Maneno yaliyoandikwa katika thread hii juu yako, ni kigezo tosha cha kujitathmini wewe kama Bana halisi na si Bana wa CCM.
 
yaani huyu bana kama isingekuwa kuogopa ban basi ngoja niache hasira lakini huyu.............basi tu maaana nina hasira sana
 
mh!!!!!!!!!!,ukitaka upoteze hadhi kwenye mijadala km hii ijadili cdm vibaya!,sasa uko c kulazimishana kufikiri sawa!!!

chadema kichwa cha wenda wazimu kweli,heshimun mawazo ya kila mtu,alichokisema bana ni sahihi kabisa,uchaguzi bado hiyo m4c ya nini? Ni upumbavu wa hali ya juu unaowasumbua nyie waroho wa madaraka na hamtafanikiwa tena labda muanzishe jamhuri ya kaskazini kama alivyosema mpuuzi wenu nassari.mlivyo mazezeta mnampiga vita hadi zitto,mtu aliyekiletea chama mvuto wa ajabu kisa siyo mchaga wala mkaskazin,kila leo mnaleta maada za akina lema,mbowe nk eti makamanda,tumuache mbowe,lema ana nini? Acheni ushamba na uonevu,mungu anawaona na nchi hamtachukua kamwe.naona chadema inapoteza mwelekeo,ushenzi ushenzi tu!
 
Huyu mzee si kada wa ccm mbona hasemi kauli mbiu aliyoingilia Nape ya vua gwanda uvae uzalendo ambayo haijulikani iliishia wapi


na yeye naa vizia cheo cha mkandara, kimsingi ni dr. wa pumba , kama alisoma na kupata udr. inatia shaka
 
ni ngumu kuamini kama ni mhadhiri udsm, ni aibu kwake kutoa kauli za kijinga kila siku si hii tu, binafsi sijawahi msikia akiongea kitu ukahisi alieongea ni msomi ni kama vile anaflash maneno yake yanatirika kama maji taka ili kwa nje aonekane msafi sasa huko ndani?!

huyo ni m2 anayependwa sana na tbc, haipt wiki bila kumtafuta ili acheze ngoma c2m
 
Huyu jamaa alijipendekeza kwa Jk, akamwacha kwenye tume ya katiba naona hajakata tamaa. Anakomaa ili kwenye Bunge la katiba aingie, naona anamwonea gere Paramagamba Kabudi. Kauli zake daima zina utata hafaninii kuwa Dr.
 
chadema kichwa cha wenda wazimu kweli,heshimun mawazo ya kila mtu,alichokisema bana ni sahihi kabisa,uchaguzi bado hiyo m4c ya nini? Ni upumbavu wa hali ya juu unaowasumbua nyie waroho wa madaraka na hamtafanikiwa tena labda muanzishe jamhuri ya kaskazini kama alivyosema mpuuzi wenu nassari.mlivyo mazezeta mnampiga vita hadi zitto,mtu aliyekiletea chama mvuto wa ajabu kisa siyo mchaga wala mkaskazin,kila leo mnaleta maada za akina lema,mbowe nk eti makamanda,tumuache mbowe,lema ana nini? Acheni ushamba na uonevu,mungu anawaona na nchi hamtachukua kamwe.naona chadema inapoteza mwelekeo,ushenzi ushenzi tu!

povu la nini ndugu? Zile ruzuku za vyama vya siasa inatolewa ili zifanye nn? Chadema inatimiza wajibu wake kama chama pinzan
 
Huyu jamaa kuna kipindi nilihisi ni mtu makini kumbe ni kinyume chake,sasa mikutano ya vyama inahusiana nini na serikali kutimiza ahadi zake? Wananchi wana haki na katiba inaruhusu vyama kufanya mikutano kuelimisha watu juu ya maendeleo yao sio kusubiri wakati wa uchaguzi. Hii ni dalili ya uoga wa chama tawala juu ya hizi harakati maana wanaona hazina yao ya kura za vijijini inaelekea kutoweka sasa wanajaribu kila mbinu,haipendezi mtu anayeheshimika na kupewa dhamana ya kuelimisha umma akakubari kutumika kwa mbinu za kitoto kama hizi,watanzania wana uelewa mpana kwa sasa.
 
Back
Top Bottom