Msaada details za chuo cha madini dodoma ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada details za chuo cha madini dodoma !

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by the horticulturist, Feb 8, 2013.

 1. the horticulturist

  the horticulturist JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2013
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 1,330
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Nahtaj kujiunga na chuo hiki ili nikachukue mining exprolation au mining engeneer,cjafanikiwa kukipata net hata niliposaka google.
  Naomba mwenye details anisaidie kama za point znazopekelewa hapo na pia how to apply!address muhimu sana.
  Thnx
   
 2. m

  mkaka mtata matata New Member

  #2
  Feb 10, 2013
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me 2 i need 2 apply, but no info/detail found yet.
   
 3. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2013
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 1,117
  Trophy Points: 280
  polen apply kwa UDOM chuo cha Madini ni sehemu ya UDOM
   
 4. N

  Nhundu Member

  #4
  Feb 11, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Po Box 1696 Dodoma, email info@mri.ac.tz maombi yanaanza kutolewa mwezi Februari hadi Mei kila mwaka.Form za kujiunga huwa zinapatikana ofisi zote za madini kanda zote Tanzania na Wizarani kwenyewe.Na chuo Cha Madini si sehemu ya UDOM kama mmoja alivyosema ilishindikana kuunganishwa hivyo kinaendelea kujitegemea yaani kuwa chini ya Wizara ya Nishati na Madini.
  Kila raheli ila ukakomae vinginevyo utakisikia tu.
   
 5. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2013
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 1,117
  Trophy Points: 280
  Sasa nikakomae vp na mi tayar ni INJINIA NZURI PESA
   
 6. the horticulturist

  the horticulturist JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2013
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 1,330
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Ahsante ndg zangun
   
 7. m

  mapunga New Member

  #7
  Mar 8, 2013
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ee bwana mambo niaje napata ytatizo namna ya kupata details za kujiuga na chuo cha maini dodoma, tafadhari naomba mnisaidie.
   
 8. A

  Abelian JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2013
  Joined: Mar 8, 2013
  Messages: 205
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ualimu umekushinda hayo madini utayaweza....
   
 9. MJUKUU WA KACHUNDU

  MJUKUU WA KACHUNDU Member

  #9
  Jan 6, 2015
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 15
  duuh.....TZ yetu kazi ipo, siku hizi ulaji unamulikwa kinoma noma...hiki chuo cha madini nadhani wamejaa watoto na ndugu wa vigogo tu sababu ndiko kwenye ulaji na michuzi kibao
   
 10. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2015
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,107
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Nina mshikaji wangu anafundisha hapo
   
 11. godimpare

  godimpare JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2015
  Joined: Feb 10, 2014
  Messages: 688
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  vp mwaka huu hawajatoa vigezo bado? Ada je kiasi gani
   
Loading...