Mdada anahitajika haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdada anahitajika haraka

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by imma.one, Sep 12, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Anahitajika dada mwenye elimu ya form iv an vi.
  Awe mkazi wa dar es salaam.
  Offic iko magomeni mapipa.
  Awe anapanda gani moja kufika hapo au hapandi kabisa gari.
  SIFA:
  1.Awe mwenye kujipenda
  2.Elimu form six or four
  3.Anajua kingereza
  4.Anajua kujieleza vizuri
  5.umri kuanzia miaka 18-24.
  6.mrembo na mwenye kujienda

  KAZI
  1.kutunza office
  2.kupokea simu
  3.kupokea wageni
  4.kuweka taarifa kwenye computer,kutuma emails na kupokea.

  NB kama hajui computer atafundishwa bure.

  MAWASILIANO:
  Phone:0713-810857
  E-mail: imamu.njama@yahoo.com
   
 2. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Your chance iz all here
   
 3. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  mashaka matupu!
   
 4. N

  Nhundu Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikuamini
   
 5. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  boss unatumia mtandao wa tigo,email haieleweki,ningekupa mdogo wangu ana hizo sifa,ila hapo kwenye sijui IMMAM NJAMA
  hapana mkuu!!
   
 6. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gheto gani?
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,890
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Vipi kwa hicho kigezo cha "kupanda gari moja". Mimi ambaye nina gari langu napanda nyumbani mpaka hapo magomeni bila kubadilisha nitafikiriwa? Au labda sielewi maana ya kupanda gari moja!
   
 8. s

  sawabho JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
   
 9. s

  sawabho JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Mkuu yaani, mashati mengine kama ya waganga wa kienyeji vile, unatakiwa kuweka mashrti kwenye muda wa kufika na kuondoka ofisini na sio aina ya usafiri. Je, kama ana usafiri wake na anakaa Mabwe Pande inakuwaje, maana bado atapanda gari moja bila kubadilisha au anakaa Mtoni Kijichi na ana ndugu yake anayempatia lift Kariakoo. Au hana usafiri, anakaa Ubungo Riverside anapaswa kufika Ubungo kwanza, halafu apande magari ya Posta au Kariakoo via Magomeni.
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,416
  Trophy Points: 280


  Sifa nyingine utadhani anatafutwa mke.
   
 11. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 779
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mi napita tu hapa! Ila hiyo kazi nina mashaka nayo. Au mkuu unatafuta mke kijanja?
   
 12. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,633
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  mmhhh,hamna kitu hapa
   
 13. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,329
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kwan hao dada zenu hamuwaamini jaman, kama akienda huko akatoa huduma nyingine tofauti na ajira huyo atakua kapenda mwenyewe
   
 14. ThePromise

  ThePromise JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama uko serious rekebisha vigezo hivyo.
   
 15. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 543
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 60
  Dah!...mkurugenzi anatafuta mke jamani......haya wenye dada shemeji huyoooo!
   
 16. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,118
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Nimesahau na hii
  "Vigezo na masharti kuzingatiwa"
   
 17. C programming

  C programming JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,439
  Likes Received: 1,329
  Trophy Points: 280
  WANAJF....SIKU HIZI KUNA NJIA NYINGI ZA KUTAFUTA WACHUMBA.......WAZULI....:flypig:
   
 18. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ni dhahiri hutafuti mtu wa mwenye bidii na uzoefu wa kufanya kazi ofisini bali unatafuta mwanamke ambae utamtumia kama sex object kuvutia wateja katika biashara yako, vyenginevyo sioni sababu ya kurudia sharti la uzuri mara mbili
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,201
  Likes Received: 1,600
  Trophy Points: 280
  Kuna kijana wa kiume ana sifa zote kasoro hiyo ya jinsia. Vipi, nimlete?
   
 20. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,547
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kama ni Mrembo na anajipenda mpeleke....ni sifa ya 1 & 6
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...