Recent content by ng'witunja

  1. N

    Geita - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hilo la Msalala lipo Shinyanga mkuu
  2. N

    Heslb ukweli ndo huu

    Naomba mnipe link inayoonesha list ya walipata mkopo HESLB yaani first years maana nikiingia kwenye website ya HESLB iniambia kuwwa "account has been suspended" nakosa cha kufanya nisaidieni wadau!
  3. N

    Matokeo halisi uchaguzi mdogo kyela, Huyo Mtoa mada Hiyo Nyingine Kadanganya

    For best Tanzania changes is inevitable as tomorrow’s sun rise!!!
  4. N

    Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

    Kimsingi Zitto amelewa sifa na anafikiri kuungwa mkono na Rostam ndo mpango, watz hatutaki nchi kukabidhiwa kwa fanyabiashara tunataka nchi yenye dira, yenye viongozi makini kama Dr. Slaa na si watu wanaoongozwa na majeshi ya mizimu na misukule ya ujiji. angalia Kigoma pamoja na kuwa mji wa...
  5. N

    Majibu kwa Mnyika na CHADEMA juu ya watumishi wa umma na mikutano ya CCM

    Uwazi na ukweli," Nape kanunua vyeti hadi masters, Nchemba jina lake halisi ni Lameck" Naomba Nape na Nchemba mkili makosa yenu si vizuri kudhulum haki za wa2! Jamani nafasi zenu walipaswa kuwepo wenyewe nafikiri mambo yangekuwa shwari! Ndo maana hawa jamaa hawawezi kuhama sisiem maana hakuna...
  6. N

    Dk. Slaa: CCM kamwe hawatatuweza CHADEMA

    Lazima afuatilie kwa maana Magamba wamesema wanafanya ziara ya kichama! KICHAMA kwakutumia kodi zetu? Haki ya MUNGU naapa kufa kwa kupambana na magamba! kawaambie hatuchagui magamba tena alaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
  7. N

    Natamani sana kuhamia CHADEMA.

    unaweza kujisajili kuptia tovuti yao: www.chadema.or.tz/
  8. N

    Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

    Mimi nafikiri kama naibu waziri tunataka tuone analifanyia nn taifa na si kuzungumzia masuala minor kama hayo! Kimsingi mazingira ya shule zilizo chini ya wizara yake ni mabaya kupindukia, kufuatia mada hapo juu naona kuwa mhe. mlogo hastahili kupewa wadhifa mkubwa kama huo kwa maana ni mtu...
  9. N

    CHADEMA si kimbilio la wasomi!

    Mimi nafikiri aliyetoa mada hiii ni Nape kama si yeye basi ni Juha fulani anayefanana na yeye! Utafiti umefanya wapi? Unafikiri wanachama wa CDM ni kama wanachama wa magamba wanaojitapa kila kona? moja ya kielelezo cha uungwaji mkono wa CDM ni majimbo amboyo vyuo hivyo vipo mfano Ubungo ndipo...
  10. N

    Natangaza kuchukua jimbo tarajiwa la Kahama mjini

    Mabadiliko yanaletwa na watu wa kada mbalimbali katika utendaji wao, sio kupitia ubunge na uongozi mwingine pekee! Wana Kahama wapo wengi sana waliosomea fani mbalimbali, kama wote wakitaka kuwa viongozi kupitia ubunge, udiwani n.k tutafika? Ushauri wangu soma kwa makini uive vilivyo, fanya...
  11. N

    Sijui kwanini nampenda sana japo amenisaliti na kuniumiza mara nyingi

    Acha kuendekeza hisia, jipange sawsawa utakuja kumbuka shuka asubuhi baridi lilishakugandisha!!!
  12. N

    CHADEMA, mmeisoma hii? Wanasema uchaguzi ni maandalizi!

    Hapo uko nje ya mstari hasa unaposema wawakilishi wa ccm ni wenye ushawishi, kwa maana siku hizi uchaguzi wa ccm hakuna kushindana sera tena! M4C ni kiboko kwa maana hapo wananchi wanapata elimu na kujitambua hivyo CCM itaanguka mweleka wa ajabu (hata wenyewe wanajua ndo maana wanapiga vita...
  13. N

    Ya Mbagala Na Bedui Aliyekojoa Msikitini...

    Hapo ndugu umenena, wapo wengi waislam kwa majina lakini misingi ya uislam hawaijui.........nakushauri uanzishe darasa la kufundisha uislam hasa kwa waislam hao wa majina!
  14. N

    swali kwa wana-CCM tu!!

    "CCM HAINA DIRA WALA UELEKEO" By Kolimba mzee wa kukolimbwa
  15. N

    Ushamba wa JK na mawaziri wake Muscat

    Subiri uone mkataba watakaoingia, si hakuna aliyekuwa makini na kinachozungumziwa hapo wote wanaitikia ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Halafu baadaye wanakuja kutekeleza mwenyewe utashangaa kama kweli rais na jopo lake walikubaliana na issue kama hiyoooooooooooooooo!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom