Lukolo! mabadiliko yanapatikana hata ukibakia hapo hapo ulipo
Wana JF nilikuwa natafuta sababu za kukihama chama changu ccm, na nimezipata! they say chadema ni ya wasomi, vijana na wanamapinduzi. hizo sifa ninazo! Nataka kuikacha CCM, na kama nikiwa mzee na yenyewe bado ipo, mi nitarudi tena!! cdm nipokeeni........
Nenda lakini ujiandae kwa kupigwa mabomu. kama sivyo labda usiende kwenye fujo zao.
......
Wana JF nilikuwa natafuta sababu za kukihama chama changu ccm, na nimezipata! they say chadema ni ya wasomi, vijana na wanamapinduzi. hizo sifa ninazo! Nataka kuikacha CCM, na kama nikiwa mzee na yenyewe bado ipo, mi nitarudi tena!! cdm nipokeeni....
Mkuu karibu kwetu, huku kwetu kuna Democrasia ya kweli, huwezi kuwa kiongozi hadi uwe aidha ndugu, rafiki au utoke kanda moja na Mzee Mtei.
Unaweza kupewa hata ukurugenzi lakini ukubali kudumisha fikra za mwenyekiti wasiliana na Erasto Tumbo, usifikiri kuwa mtaalam wa fedha ndio kutakupa cheo hicho bali ni jinsi gani unaweza kupitisha bila kuhoji matumizi yasiyokuwa ya haki yaliyoidhinishwa na katibu, Mwenyekiti na Mwasisi wa Chama wasiliana na Mwigamba.
Kama wewe siyo dini moja na mwasisi wa Chama utapewa uongozi lakini kwenye maamuzi muhimu ya chama hutashirikishwa, wasiliana na Said Arfi atakujuza.
Mkuu huku fitna ndio nyumbani kwao, jaribu kugombea cheo utaona, pamoja uchaguzi wa BAVICHA umepita miaka mingi lakini hadi leo bado watu wanamuandama John Heche.
Hivyo mkuu karibu nakushauri ukifika huku usipende makuu waachie waanzilishi wafaidike na matunda ya mabadiliko.
Kwani wanaopiga mabomu ni cdm?
Acha unafiki wewe, kwanza wewe siyo wanachama wa chadema, mbona nyie. Chama chenu kimekuwa cha familia na hatusemi, si afadhali ukoo ni mpana kidogo, nyie ni BABA, MAMA NA WATOTO (BMW)
Mkuu samahani lakini, ivi Grace Kiwelu na Mhe. Ndesamburo wana uhusiano wowote au Christina Magwai na Tundu Lisu vipi? ni coincidence au planned? tumuambie mwezetu Kiwatengu ukweli asije akaja na expectation huku alafu akakuta otherwise. Ni vema akawasiliana na Mhe. Nyimbo amueleze yaliyomsibu.
ongea point acha kubwabwaja ujinga wako kila mtu akuelewe ulivyo mbumbumbumm nataka kwenda huko ili litakapofunguliwa bilicanas mpya na mimi niwepo kwenye uzinduzi