ng'witunja
Member
- Aug 13, 2012
- 16
- 2
Mabadiliko yanaletwa na watu wa kada mbalimbali katika utendaji wao, sio kupitia ubunge na uongozi mwingine pekee! Wana Kahama wapo wengi sana waliosomea fani mbalimbali, kama wote wakitaka kuwa viongozi kupitia ubunge, udiwani n.k tutafika? Ushauri wangu soma kwa makini uive vilivyo, fanya internship na uwe expert kwenye utoaji wa huduma za afya uwe mfano katika kuleta mabadliko. Ukiwa mwadilifu na chapa kazi baada ya 2015 hautakumbuka tena habari ya siasa, kwa maana CDM watakuwa wameshika hatam na wewe pengine unaweza kupelekwa Kahama kwenda kuwa DMD ili ulete mabadiliko tunayoyataka katika afya.
Mwisho: Usisahau kuwaelimisha wananchi wa Kahama umhimu wa kuachana na chama cha majambazi kinachopora madini yao kila kukicha na kuwaacha wakiwa hoi bin taabani na barabara mbovu, huduma duni za afya, shule zisizo kuwa na waalimu, maabara na matizo menine kibao!
Shule njema