Sijui kwanini nampenda sana japo amenisaliti na kuniumiza mara nyingi

X GIRL FRIEND

Member
Sep 2, 2011
69
21
Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui kwanini hali hii hunitokea
 
Hujiamini kuwa waweza simama peke yako pasi yeye.utakapoweza kuwa huru kihisia utaweza kufanya maamuzi sahihi.hata yeye amegundua hilo thats why anacheat then anarudi akiwa na uhakika huwezi mchomolea.ila wanawake wengine wako hivyo i.e wategemezi wa hisia
 
Love is a Package...

Kuna vitu vingi sana vinavyofanya umpende mtu.., tabia na loyalty ni baadhi tu.., in short your umefall na katika maamuzi yako unatumia (your heart instead of your head) in short upo kwenye position mbaya sana ya kuwa used, the only alternative is to get out (time heals) au kuomba abadilike (ingawa its unlikely)..

Its up to you pima mwenyewe..., Je maumivu unayopata is it worth it kwa furaha unazopata ukiwa nae ?, Is it worth the sacrifice ?.., Hata kama it worth it, kumbuka mtu kama huyo mwisho wa siku anaweza akaja kukuacha njia panda.
 
pole, ni ngumu sana.
Labda utafute mbadala kitu ambacho kwenye mapenzi si suluhu sana.
 
kwa sababu unampenda,hujiamini na upo weak kwake.na yeye anajua hilo,na huko ku cheat hatoacha kwa sababu anajua utamsamehe tu
 
Mhmm,siwezi Kukushauri bt nakuambia mapenzi ni mali yako hivyo unauza haki na mali yako kirahisi,hivyo mapenzi kwa sasa ni ubia kama vipi ua biashara tu chukua hisa yako mpotezee mazima utapata mwekezaje mwingine utaingia nae ubia mkataba mpya acha uzembe atakumiza mpaka utaisoma namba wewe loh amua sasa fanya mamuzi hata kama magumu vipi
Fanya haraka tunasubiri.

Nayanda.
 
Hapa kuna jambo zaidi ya moja ambalo naona lipo pande zote. Kwanza mwanamke yawezekana ni tegemezi au ana weakness zake ambazo kama atakwenda mahali pengine hakuna mtu wa kuweza kumvumilia na ndio maana anakubaliana na matokeo.
kwa upande wa mwanaume yawezekana naye anakubaliana kukaa na huyo binti pamoja na mapungufu yake kwa kuwa mbali na mapenzi kuna kitu zaidi anapata (aidha anaweza kuwa ana sauti juu ya kipato cha binti huyo) huo ni mtazamo wangu tu. CIELLO, HEART, NIVEA, KISUKARI, ANGEL MSOFFE na wengineo tunasubiri zaidi.
 
mtu anakuja humu anaelezea jinsi mwanamke wake alivyomteka vibaya afu anataka ashauriwe kizembe tu.
We mtoa mada jipange ni viraisi kovu kugeuka kidonda kuliko kupata jeraha jipya.
So kama unatafuta sababu endelea kusubiri unaokufaa na uuchukue na kuufanyia kazi
 
Back
Top Bottom