Recent content by Ng'wanapagi

  1. Ng'wanapagi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameniomba ushauri nimemuambia ajiue tu, hakuna namna

    Duh bora msela angekuwa anakula kawaida mtaro tena harafu harrier imepaki nje ya jamaa yako!! Dunia uwanja wa fujo
  2. Ng'wanapagi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inasikitisha. Nimepotezewa uanaume wangu hivi hivi najiona

    Mshukuru Mungu kwa hali hiyo jana nimeenda kuombewa Mungu aninusuru na ngono pesa zinapukutika kama nyasi kavu zilizomwangiwa petrol. Usijutie chinja hata mbuzi usherehekee
  3. Ng'wanapagi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais ingilia kati ubadhirifu katika ujenzi wa jengo la abiria Mwanza Airport

    Atafuatilia akitoka mazikoni Uingereza
  4. Ng'wanapagi

    JamiiForums Tanzania Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

    Kama huijui Kahama ni heri ukanyamaza tu
  5. Ng'wanapagi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

    Ukisikia kiatu alichopewa Mwakinyo ndo hicho sasa umebebeshwa
  6. Ng'wanapagi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. Ng'wanapagi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuomba tendo la ndoa kwa wanawake ambao leo hii tunawajutia tukutane hapa

    Ulichokuwa umebakiza ni kumtongoza mchungaji Zumaridi
  8. Ng'wanapagi

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aitwe haraka na kamati ya siasa ya chama

    Tatizo la kumpa madaraka mtu mshamba na limbukeni ndo matokeo hayo.
  9. Ng'wanapagi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo kijana aende chuo gani kati ya hivi

    Akasomee sayansi, pale SUA awaachie wakulima
  10. Ng'wanapagi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakalenjini na Wakikuyu wataendelea kutawala Kenya miaka mingine 20

    Raila na Ruti wote hawafai bora mgombea uraisi angekuwa Sonko
  11. Ng'wanapagi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzaa imekuwa kama fashion (mitindo).

    Wasipozaa mtakuja na lawama wanaenda kinyume na maumbile wakizaa ooohhh hivi vibinti!!! Hamia sayari ya Venus
  12. Ng'wanapagi

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unaandika kishabiki unafikili vita hiyo ni kama ligi ya NBC?
  13. Ng'wanapagi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni Experience yangu niliyoipata kwa Mwanamke Mwembamba

    Umeniharibia mfungo fra.un wewe
  14. Ng'wanapagi

    JamiiForums Tanzania Ni Waziri gani alikwenda gerezani kumshawishi Freeman Mbowe?

    Useless
Back
Top Bottom