Kahama VS Tunduma: Wapi kuna Michongo ya Pesa na Fursa zaidi?

Kama idadi ya watu kahama imezidi tunduma


Kama miundo mbinu kahama imezidi tunduma

Kama mzunguko wa pesa kahama imezidi tunduma

Kama starehe na anasa kahama imezidi tunduma

Ukibisha na kuja na mifano ya Kila kitu hapo juu hivi Kuna kiwanda cha bati, misumari nk uko tunduma uko haya njoo kwenye anasa Sasa aisee anzia mbeya mjini mpaks boda tafuta tafuta the place kama the magic ipo wapi yani mnatoka tunduma mnaenda kwenye vibanda umiza eti kustarehe pale mwairubi au city pub si vibanda umiza vile

Kahama Kuna uwanja wa ndege nyie si mnaenda songwe hii inchi ukitoa dar the next ni mwanza na kahama over ukibisha nakuja na mifano
 
Mzunguko wa pesa unapimwa Kwa uwepo wa taasisi za kifedha ..tunduma ikiwa na matawi ya benki kama haya nitaipa hadhi ya kubattle na kahama
AZANIA bank isaka road na kagongwa
EQUITY bank isaka road
TCB bank mama farida road
Bank of Africa igalilimi
DTB bank kariakoo kubwa
.hapa sijaitaja NMB Ina branch mbili
CRDB Ina branch mbili
NBC bank ...
Kahama kwenye mzunguko wa pesa inaupiga mwingi sana na ni shopping hub ya wilaya za shinyanga,tabora,kigoma na geita...
 
Aniversarry ya redio Mpya ,na the Golden city .GOLD FM kahama ...huku investment ni daily
20220903_151624.jpg
20220904_053313.jpg
20220904_053316.jpg
 
Hvyo vi hotel vyako kwa kahama ni vihotel vya uchocholoni.kahama ni munispal .tundumu ni halimashauli ya mji.mzunguko wa pesa kahama huwezi linganisha na tunduma.tunduma Kuna vibajaji vingi,pikipiki za kuhesabu tax hazizidi 20 mji mzina.kahama Kuna baiskel,bajaji za kutosha ,pikipiki za kutosha mabasi ya kutosha kwenda mikoa zaidi ya 14.kahama Ina Magali ya abilia kama hiace ya kwenda sehem nyingi tofauti kama ushilombo,kagongwa,shy,tinde,isaka,lunzewe kwa njia nyingi tofauti tofauti.ila tunduma inanjia 4 tu.ya kwenda Malawi,ambayo Gali zake ni chache sana.kwenda boda hakuna hiace kabisa,kwenda njia ya mbeya ndio Kuna coster na hiace za kwenda mlowo.mpaka mbeya.njia ya sumbawanga napo Kuna hiace japo ni chache sana.ila kwa kahama Kuna njia zote isaka mpaka shy Gali kibao.njia ya masumbwe Gali kibao njia ya short cut ya kutokezea tabora zipo kibao njia ya kwenda kakola zipo kibao njia ya kutokezea msalala Gali zipo kibao.mzunguko wa pesa kahama upo zaidi kwa kuwa kahama ndio sehem kuu ya kununua bidhaa kwa miji yote iliyoizunguka iliyo na migodi na isiyo na migodi tofauti na tunduma.tunduma vitu vinabei ya juu.ukivuka border unaenda kununua kuanzia nguo,vitenge mafuta,viatu,petrol vyote vipo chini kuliko tunduma.tunduma malori na mpaka ndio vinavyouchangamsha mji.kuanzia kule kwa mpemba zile yard za Magali na gest ndio zinazoupatia mji wa tunduma mapato.ila kahama Kuna kilimo Cha mpunga,migodi,na biashara
Kweli usukuma ushamba, lengo la mada ni kulinganisha tunduma na kahama in term of fulsa za biashara. Wewe umekuja kubishana idadi ya baiskeri na bajaji.
 
Back
Top Bottom