Inasikitisha. Nimepotezewa uanaume wangu hivi hivi najiona

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,700
9,778
Wakuu, kutokana na changamoto za hapa na pale za kimaisha, nimejikuta mtu wa mawazo sana kiasi kwamba ni wiki ya tatu nimekutwa na changamoto hizi:

1. Nimepoteza hisia za kimapenzi, sina hamu na wanawake, nakosa hata muda wa kuwaza ngono

2. Nimekuwa mzembe wa kutongoza hadi wenzangu wananishangaa, wakati kipindi cha nyuma, awe binti, mama au bibi akipita ninae, mtu na mkewe wakijichanganya ninao

3. Nakosa hata hamu ya kupiga punyeto hata kama niwe gheto peke yangu, hata kama nichungulie dirishani nimuone binti wa mama mwenye nyumba na jinsi anavyopenda kujiachia kiivyo sifikirii kabisa

4. Mbaya zaidi, hii ni wiki ya tatu with no erection, sisimamishi kabisaa hata erection ya asubuhi imepeperushwa

5. Juzi nimelala na mpenzi wangu kitanda kimoja tena tukiwa bare, lakini sijamfanya chochote kitu, just imagine hata kumpapasa tu sijampapasa

Nahitaji ushauri ni jinsi gani naweza ondokana na hili janga japo nimekwisha anza mazoezi ya viungo na kuskiliza muziki kupita kiasi kama nilivyoshauriwa japo haijasaidia
 
Tafuta pesa.
Utaona unavyomtamani bibi yeyote aliyembele zako
 
Una mawazo relax, fanya meditation kula diet ishi healthier lifestyle... kama una imani na dini sali sana na upunguze mawazo , utakuwa sawa tu mzee
Zikiisha hizo "Changamoto za hapa na pale za kimaisha" na hali yako itarudi kama mwanzo,

Relax,changamoto za kimaisha ni jambo la kawaida,hali yako ikirudi tafuta umpendae uoe kabisa.
Shukhrani sana wakuu, ntafanyia kazi ushauri wenu
 
Dalili za sonona..ukivuka hiyo stage unaenda stake ya kukaa pekeako pekeako unajifungia ndani hutoki..baada ya hapo utajiua kuwa makini sana..

#MaendeleoHayanaChama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom